BAKWATA: Mgomo wa madaktari ni batili

kwenye masuala ya kitaalam, nawashauri watu kama hawa wakae kimya tu!!!!!!

yani wakristo munajiona mumesoma sana lakini sio makosa yenu ni kwasababu dini yeni ya ya mapambo hivi wewe na akili yako roho ya mtu na hizo pesa kipi kina thamani wangapi leo wana hela lakini hawana raha ya maisha kila kitu anambiwa usile chumvi usile sukari usile sasa hapo maisha yana raha gani uhai ni bora kuliko mambo mengine fuateni mafundisho sahihi ya issah bin mariam na kupinga sio bakwata ndio wameanza ha mzee wa upako alipinga au munachuki tuu na waislamu acheni ukafiriiiiiiiiiiiiiii
 
Mods lugha hizi za kejeli,dharau na kuudhi natumaini kama mnazifuatilia. Kwa haiba nzuri ya furum hii naomba mchukue hatua dhidi ya kauli hizi na mtoa kauli hii.

Back to the nukta. Tukiondoa ushabiki wa dini, jambo gani baya walilotamka BAKWATA, hivi kutowataka madaktari kushiriki katika mgomo badala yake warudi makazini kwani uamuzi wao huu una athari kubwa sana kwa wananchi.

Naamini, ikiwa maamuzi yakuipinga BAKWATA hayakutawaliwa kisiasa inayolenga kuiangusha serikali iloiyoko madarani kwa kufanya nchi isitawalike. Leo Madaktari, kesho waalimu. Hivi nyie pro-CDM mbona mko kwenye the same line? Kutukana uislamu na taasisi zake sambamba na kuunga mkono maamuzi haya ya kinyama ya madaktari.

ulisaambiwa na mch. Msigwa kuwa usiruhu akili ndogo itawale akili yako kubwa na unaposema pro cdm ndio pekee wanaoponda bakwata huo ni ufitinishaji wa kitoto kwan swala humu sio procdm bali ni maoni ya watu binafsi.
 
mkuu hiyo MoU mnayoilalamikia kila kuchwao hujaona faida zake.?hebu fikiria hospitali zifuatazo zisingekuwepo ingekuwaje
-KCMC
-CCBRT
-BUGANDO
-IFAKARA
-HYDOM
-ACMC
kumbuka kuwa hospitali hizi zinatoa huduma kwa wananchi wote bila kujali dini zao

ongeza
Peramiho
Ndanda
ikonda
Ipamba
Nkinga
Litembo
zote hizi ziko chini ya makanisa.
Hawaelewi hawa waacheni wakale ubwabwa pale ikulu afu wajambe huku maisha yanaenda, na mgomo unaendelea
 
yani wakristo munajiona mumesoma sana lakini sio makosa yenu ni kwasababu dini yeni ya ya mapambo hivi wewe na akili yako roho ya mtu na hizo pesa kipi kina thamani wangapi leo wana hela lakini hawana raha ya maisha kila kitu anambiwa usile chumvi usile sukari usile sasa hapo maisha yana raha gani uhai ni bora kuliko mambo mengine fuateni mafundisho sahihi ya issah bin mariam na kupinga sio bakwata ndio wameanza ha mzee wa upako alipinga au munachuki tuu na waislamu acheni ukafiriiiiiiiiiiiiiii
Mkuu, siyo kwamba wanajiona wamesoma bali ni ukweli ulio wazi kwamba, bila elimu, utatuzi wa migogoro utakuwa mgumu. Unapolaumu matokeo badala ya kulaumu chanzo basi huna busara katika kutatua migogoro. So the best option ni kukaa kimya tu badala ya kukazana sana kupiga kelele wakati hujui na huwezi kuchangia mada ambayo hujaielewa.

Ok, kuhusu mgogoro, watu wengi wanakazania kusikiliza na kutazama taarifa ambazo zinatoka kwa upande wa serikali na vyombo vyake badala ya kusikiliza hoja halisi kwenye ground. Niseme kuwa true judgement will be sound only if the two conflicting sides are listened. Nikikuuliza suala halisi kwenye huu mgomo wa Madr, bila shaka utaniambia SUALA kubwa ni POSHO na MASLAHI ya Madr. Niseme tena hii siyo sababu ya kwanza ya mgogoro uliopo. Suala lililopo KWASASA si posho wala maslahi ya Madr bali MAZINGIRA BORA YA KAZI. Hili linaendana na HAKI za wagonjwa ikiwa ni kupatiwa madawa na mazingira bora ya kupata matibabu. Ukiambiwa kule Muhimbili, hospitali kuu ya taifa haina CT scan (kama unajua umuhimu wake) kwa miezi saba sasa. ninaposema kuwa haina CT scan haipo namaanisha ni mbovu na haina tija yoyote kwa Drs na wagonjwa. Jiulize, unakwenda kutibiwa, dr (specialist) anakuandikia uwe scanned, na hapo unaambiwa NI MBOVU. Hadi uende hata sijui ni wapi?

Serikali inasisitiza kuwa "akina mama na wazee watatibiwa bure", hebu nenda na mkeo uone kama atajifungua BURE kwa maana ya kutonunua nyembe, mikasi, gloves na hata mashuka kwa ajili ya kujifungulia? Ninaposema hili suala ni la kitaalamu, ninamaanisha kwamba, anayeweza kuchangia kuhusu kuutatua huu mgogoro siyo yule anayefikiria kwa moyo bali anayefikiria kwa KICHWA (Mods naamini sijamkashifu mtu hapa). We must use our heads in solving our problems and not our hearts. Habari ndo hiyo. Narudia tena kuwa Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them. Let us avoid insanity in the sense that we are always doing same things in the same way meanwhile expecting different results. Narudia tena
kwenye masuala ya kitaalam, nawashauri watu kama hawa wakae kimya tu!!!!!!
 
huo msimamo nauunga mkono 100% kama mnagoma gomeni kutibu viongozi wote wa serikali kwanzia rais mpaka balozi wa nyumba kumi sijui hamsini,mwananchi usimtibu kakukosea nini??!!
je na sisi wananchi tukigoma kulipa kodi kwa nguvu zote na kwa maandamano mtakula wapi??!!!
waumizeni wahusika musiwauwe wasio husika,dume limekamilika linagoma kumtibu mgonjwa na lipo tayari hata mgonjwa afe mbele yake akili kweli hii??!!!
hawa ma doctor wetu taaluma yao ya kuuwa uwa wamepata wapi??!!!
hao ni wauwaji.com wala si ma doctor
 
Katibu Mkuu wa Vijana wa BAKWATA amesema mgomo wa madaktari unaoendelea hauna nia njema kwa taifa.
Amedai mgomo huu unaweza kusababisha vifo vya watz wasionahatia.
amewataka wote wanaoshabikia mauaji ya watz kwa kisingizio cha maslahi kuacha kufanya hivyo kwani ni *kinyume na ubindaamu.
Amewataka waislam na wapenda amani kwa Ujumla kuacha kushabikia vitu visivyo vya msingi

SOURCE: REDIO IMAAN
KIPINDI CHA MWANGAZA KWA JAMII

mjinga mkubwa huyo ni wananch wangapi wanafariki kwa kukosa huduma bora mahospitalini,we ujiulizi kwanini viongoz hawatibiwi ndani ya nchi wanajua kuna asilimia ndogo ya kupona hata ukiwa unaumwa ugonjwa mdogo
 
Bakwata wanatoa tamko hilo kama nani? Boko haramu walipokuwa wanachoma makanisa Zenji walisema nini? Mgomo wa sensa nao ni halali au sio halali? Kwa ninavyoona ni heri ya mgomo wa madaktari una mashiko kidogo kuliko ule wa sensa, watakaoshiriki na waliohamasisha mgomo wa sensa wote ni haramu including Bakwata.
 
Back
Top Bottom