Bakwata SENSA batili au halali?Serikali kutokutoa huduma bora za afya kwa wananchi wanaolipa kodi ni halali na je huduma bora za afya nyie bakwata mnajua kuwa ni pamoja na kuwa na madaktari,wauguzi na manesi wa kutosha na huku ukiwalipa stahili zao sambamba na hali ya maisha huku ukiangalia risk ya kazi yao?
Mimi natamka ya kwamba madaktari endeleeni na mgomo tupo tulioko nyuma yenu,maana hizi ni ishara za ukombozi na kwa wawsio jua siku mwisho nio hizi,hakika nuru ya ukombozi kutoka mikononi mwa wakoloni weusi chini ya Nyinyiemu-ccm-magamba umewadia.maana wao ndio wakusanya kodi wao ndio wanafanya umatola ulaya kila kukicha,wao ndio wameshikilia rasilimali zetu,ikataba wanaingia wao,wana kila kitu.leo wanashindwa kuwahudumia watu waliowaomba ridhaa ya juwaongoza nawananchi wakawaamini huku wakitegemea huduma zote watapata,zikiwamo za afya leo hawatekelezewi,mwisho wa siku tunabaki kuwaaambia madaktari eti wawahurumie wananchi wa hali ya chini,inaingiaje akili wakati kwa kufanya hivyo tu-fuel mambo mengi machafu yanayotokea huko kwenye hospitali zetu,na anaeumia na hilo ni mwananchi,sasa mimi naona sacrifice kama hii itatuletea ukombozi wakweli.
Nawatakia mgomo mwema na Mungu awatie nguvu ya kusimamia msimamo wenu mpaka kieleweke