BAKWATA itakufa CCM ikiondoka madarakani

hii kitu ya 'better evil' haiingii akilini mwa mtu wa kawaida.....yaani ni sawasawa na katoto kaliko lawitiwa sana katika maisha yake halafu watu wakitaka kukasaidia kanakataa na kutaka kuendelea kulawitiwa tu......! Imefikia pabaya sana jinsi CCM inavyoitumia BAKWATA kui abuse Dini yenu Tukufu ya Kiislam..!

Dou you think there is a difference between what chadema is doing to abuse alama za dini kabla hata hawajapata dola wakipata itakuwaje?

Chadema =CCM =Maaskofu when it comes to muslims treatments...sasa ni swala la waislamu kutafuta namna bora kudai haki zao lakinihujani..convice kwmba chadema is better off..
 
Media zote nchini wiki hii zimekuwa zikiripoti habari za kukamatwa kwa watu wanaotuhumiwa kutenda au kula njama za kufanya ugaidi hapa nchini. Tuhuma hizo zimepokelewa kwa mitazamo tofauti: kuna wale wanaoona polisi imefanikiwa na wale wanaona kuwa sakata hilo ni la kupangwa tu. Makundi yote yana hoja. Hoja za kimazingira na zile za kihistoria.

Polisi siku zote wamehusishwa na ubambikaji kesi, watu kadhaa wamefungwa kwa kubandikwa silaha,mauaji nk. SIO AJABU, kuona watu wakibambikwa mabomu ili kuinusuru aibu ya J.K. na CCM yake.

Aidha, kesi hii imesukwa ili kuwasahaurisha wananchi juu ya suala la Account ya Tegeta Escrow.

Waislam watanyanyaswa sana chini ya utawala huu wa washirikina CCM. Mh.Lukuvi ameshaongea na kuonesha wazi msimamo wa CCM dhidi ya uislam. Ndani ya serikali na CCM hakuna aliyekanusha maneno ya mh.Lukuvi.

Mh.Lukuvi kasha wapasha salaam zao kina Faizafoxy, The Big Show na all the like. Kwamba uislamu ni uadui kwa jicho la CCM na serikali yake. Kina Farid wa UAMSHO Zanzibar wataburuzwa sana toka mahabusu hii hadi nyingine. Hadi watakapoujutia msimamo wao na kule kuwa kinyume cha BAKWATA (Baraza la Kikristo kwa Waislamu wa Tanzania).
 
dhulma haidumu, ikidumu inaangamiza.
udhalim tunao fanyiwa waislam nchi hii Ipo siku wataulipia.
 
Umenifurahisha hapo uliposema ya kwamba bakwata ni Baraza la kikristo kwa waislam wa tanzania uko sahihi kabisa.

Bakwata ni baraza la kikiristo lililopandikizwa na lile lijikafiri nyerere laana ya mungu iwe juu yake katika kuligawa hili taifa katika misingi ya kidini.

Hivi majuzi kuna habari zimeleak na kufika hadi ikulu kuwa kumbe issa shaaban bin simba hupata maagizo wakati mwingine kutoka kwa pengo.

Na kwamba pamoja na kwamba watu hao ni viongoz wa iman mbili tofauti lkn simba amekuwa chakubimbi wa pengo kwa miaka mingi na hurubuniwa kwa vijisenti uchwara kutokana na njaa zao.

Hakuna shaka bakwata ni mshirika wa karibu wa ccm na kanisa.

Sisi hilo tunalitambua ba tulichokifanya ni kuliacha baraza hilo liendelee na vitimbi vyake.kwan wao wanapanga na mungu pua anapanga.

Na hakika mungu ni mbora kabisa katika wapangaji wa mambo.

Hivi karibuni waislam tumejenga msitiki mkubwa sana tena wa kisasa ghorofa saafi kabisa wilayani newala.

Msikiti ambao huuwez kuupata kanda yoote ya kusini mwa tanzania isipokuwa newala.

Pamoja na kujenga msikiti huo kwa juhudi za wenyewe waislam tukaamua tuweke plan ya kujenga shule madrasa na zahanati.

Tumekamilisha mchakato ule tunachukua documents zetu tuzipeleke bakwata kwa ajili ya Registration wanasemaa oooh hatutaki kuisajili jumuiya hiyo kwa masharti hadi tuwapangie sisi utaratibu woote wa uongozi uendeshaji na umiliki.

Tukawaambia hilo haliwezekani.

Kwanza hii institution imejengwa kwa nguvu za waislam wenyewe.

Pili wenyewe ndio wanatambuana vyema na kujua nna ya kuchaguana.

Tatu iweje umiliki muuchukue nyinyi bakwsta ili hali hii ni mali ya waislam wenyewe na jasho lao??

Bakwata wakaja juu na kusema kwamba wao hawawez kuisajili hali iliyopelekea sisi kuchukua documents hizo na kupeleka kwa sheikh kundecha ambae ni amir wa jumuiya ya Baraza Kuu la waislam Tanzania.

Huko usajili utafanyika kwan nacho ni chombo kinachotambuliwa kusheria.

Kwa kuwa bakwata ilianzishwa na makafiri kwa interests zao wacha tuwaachie chombo chao sisi tuzid kusonga mbele.

So kwa kumalizia hoja yako.

Sisi tunajua ccm sio msaada kwetu na hata siku moja hatuwez kuweka tumain letu kwa wanasiasa hata hao chadema.

Hilo ukae ukilifaham.
 
Waislam mmezid kulalamika hususan viongozi wenu wanapokua na kesi, mbona cjawahi kuckia mnalalamika maustaz wa madrassa wanapofikishwa mahakamani kwa kubaka au kulawiti watoto?au nyie mnaona kesi za ugaidi pekee ndo za kuwatetea masheikh wenu?muandamane na kupaza sauti pale maustazi wenu wanapobaka na kulawiti wanafunzi wao wa madrassa na msiishie kwenye kesi za ugaidi 2.
 
Media zote nchini wiki hii zimekuwa zikiripoti habari za kukamatwa kwa watu wanaotuhumiwa kutenda au kula njama za kufanya ugaidi hapa nchini. Tuhuma hizo zimepokelewa kwa mitazamo tofauti: kuna wale wanaoona polisi imefanikiwa na wale wanaona kuwa sakata hilo ni la kupangwa tu. Makundi yote yana hoja. Hoja za kimazingira na zile za kihistorika.

Polisi siku zote wamehusishwa na ubambikaji kesi, watu kadhaa wamefungwa kwa kubandikwa silaha,mauaji nk. SIO AJABU, kuona watu wakibambikwa mabomu ili kuinusuru aibu ya J.K. na CCM yake.

Aidha, kesi hii imesukwa ili kuwasahaurisha wananchi juu ya suala la Account ya Tegeta Escrow.

Waislam watanyanyaswa sana chini ya utawala huu wa washirikina CCM. Mh.Lukuvi ameshaongea na kuonesha wazi msimamo wa CCM dhidi ya uislam. Ndani ya serikali na CCM hakuna aliyekanusha maneno ya mh.Lukuvi.

Mh.Lukuvi kasha wapasha salaam zao kina Faizafoxy, The Big Show na all the like. Kwamba uislamu ni uadui kwa jicho la CCM na serikali yake. Kina Farid wa UAMSHO Zanzibar wataburuzwa sana toka mahabusu hii hadi nyingine. Hadi watakapoujutia msimamo wao na kule kuwa kinyume cha BAKWATA (Baraza la Kikristo kwa Waislamu wa Tanzania).
wacha uchochezi. mnashindwa hoja ya katiba sasa mnachochea udini. dunia yote hata uarabuni tishio kubwa la amani siku hizi ni ugaidi wa imani kali ya kiislaam.
 
Khaa!! Siku nikiwa rais wa nchi hii nitapiga marufuku uingizwaji wa misaada kutoka nje,, ulipaji wa kodi, sadaka na zaka. Kwani hivi ndiyo vinavyosababisha majobless watusumbue mitaani
 
Umenifurahisha hapo uliposema ya kwamba bakwata ni Baraza la kikristo kwa waislam wa tanzania uko sahihi kabisa.

Bakwata ni baraza la kikiristo lililopandikizwa na lile lijikafiri nyerere laana ya mungu iwe juu yake katika kuligawa hili taifa katika misingi ya kidini.

Hivi majuzi kuna habari zimeleak na kufika hadi ikulu kuwa kumbe issa shaaban bin simba hupata maagizo wakati mwingine kutoka kwa pengo.

Na kwamba pamoja na kwamba watu hao ni viongoz wa iman mbili tofauti lkn simba amekuwa chakubimbi wa pengo kwa miaka mingi na hurubuniwa kwa vijisenti uchwara kutokana na njaa zao.

Hakuna shaka bakwata ni mshirika wa karibu wa ccm na kanisa.

Sisi hilo tunalitambua ba tulichokifanya ni kuliacha baraza hilo liendelee na vitimbi vyake.kwan wao wanapanga na mungu pua anapanga.

Na hakika mungu ni mbora kabisa katika wapangaji wa mambo.

Hivi karibuni waislam tumejenga msitiki mkubwa sana tena wa kisasa ghorofa saafi kabisa wilayani newala.

Msikiti ambao huuwez kuupata kanda yoote ya kusini mwa tanzania isipokuwa newala.

Pamoja na kujenga msikiti huo kwa juhudi za wenyewe waislam tukaamua tuweke plan ya kujenga shule madrasa na zahanati.

Tumekamilisha mchakato ule tunachukua documents zetu tuzipeleke bakwata kwa ajili ya Registration wanasemaa oooh hatutaki kuisajili jumuiya hiyo kwa masharti hadi tuwapangie sisi utaratibu woote wa uongozi uendeshaji na umiliki.

Tukawaambia hilo haliwezekani.

Kwanza hii institution imejengwa kwa nguvu za waislam wenyewe.

Pili wenyewe ndio wanatambuana vyema na kujua nna ya kuchaguana.

Tatu iweje umiliki muuchukue nyinyi bakwsta ili hali hii ni mali ya waislam wenyewe na jasho lao??

Bakwata wakaja juu na kusema kwamba wao hawawez kuisajili hali iliyopelekea sisi kuchukua documents hizo na kupeleka kwa sheikh kundecha ambae ni amir wa jumuiya ya Baraza Kuu la waislam Tanzania.

Huko usajili utafanyika kwan nacho ni chombo kinachotambuliwa kusheria.

Kwa kuwa bakwata ilianzishwa na makafiri kwa interests zao wacha tuwaachie chombo chao sisi tuzid kusonga mbele.

So kwa kumalizia hoja yako.

Sisi tunajua ccm sio msaada kwetu na hata siku moja hatuwez kuweka tumain letu kwa wanasiasa hata hao chadema.

Hilo ukae ukilifaham.

utakufa kwa kuitafuta dini badala ya kumjua mungu.pigania dini halafu mwisho wake utakufa mdomo wazi
 
Umeongea vyema ila sijakuelewa unavyoifananisha BAKWATA na Ukristo.Nuru na Giza haviwezi kuwa Sawa.
 
Ha2oni hata wagombea waliopo na wenye nguvu, they r al xstian.... Let us wake up Muslims, ooh God..! Its so painful...

Sasa nyinyi mnatoka nje ya mada, huu ni udini sasa. Mleta mada lengo lake ni tofauti na mnayosema nyie.
 
Umeongea vyema ila sijakuelewa unavyoifananisha BAKWATA na Ukristo.Nuru na Giza haviwezi kuwa Sawa.

mkuu umenena,ukristo ni nuru kuweka sehemu moja na bakwata ni tusi kwetu,mungu tunayemwabudu siye wakristo na wao waislamu ni tofauti kabisa.sisi imani yetu msingi mkuu ni BWANA WETU YESU KRISTO na waislamu ni mtume wao s.a.w ambaye alipokufa wafuasia wake waligawanyika nani atayemrithi mtume wao kati ya binamu yake mohamedi au mtoto wa mohamedi ndio yakatokea madhehebu mawili sunni na shiha.kwa upande wetu kanisa limeacha chini ya ungalizi wa ROHO MTAKATIFU AMBAYE NDIYE MSAIDIZI. ukristo hauwezi kushirikiana na meza ya mashetani kukinywea kikombe kimoja.
 
Umenifurahisha hapo uliposema ya kwamba bakwata ni Baraza la kikristo kwa waislam wa tanzania uko sahihi kabisa.

Bakwata ni baraza la kikiristo lililopandikizwa na lile lijikafiri nyerere laana ya mungu iwe juu yake katika kuligawa hili taifa katika misingi ya kidini.

Hivi majuzi kuna habari zimeleak na kufika hadi ikulu kuwa kumbe issa shaaban bin simba hupata maagizo wakati mwingine kutoka kwa pengo.

Na kwamba pamoja na kwamba watu hao ni viongoz wa iman mbili tofauti lkn simba amekuwa chakubimbi wa pengo kwa miaka mingi na hurubuniwa kwa vijisenti uchwara kutokana na njaa zao.

Hakuna shaka bakwata ni mshirika wa karibu wa ccm na kanisa.

Sisi hilo tunalitambua ba tulichokifanya ni kuliacha baraza hilo liendelee na vitimbi vyake.kwan wao wanapanga na mungu pua anapanga.

Na hakika mungu ni mbora kabisa katika wapangaji wa mambo.

Hivi karibuni waislam tumejenga msitiki mkubwa sana tena wa kisasa ghorofa saafi kabisa wilayani newala.

Msikiti ambao huuwez kuupata kanda yoote ya kusini mwa tanzania isipokuwa newala.

Pamoja na kujenga msikiti huo kwa juhudi za wenyewe waislam tukaamua tuweke plan ya kujenga shule madrasa na zahanati.

Tumekamilisha mchakato ule tunachukua documents zetu tuzipeleke bakwata kwa ajili ya Registration wanasemaa oooh hatutaki kuisajili jumuiya hiyo kwa masharti hadi tuwapangie sisi utaratibu woote wa uongozi uendeshaji na umiliki.

Tukawaambia hilo haliwezekani.

Kwanza hii institution imejengwa kwa nguvu za waislam wenyewe.

Pili wenyewe ndio wanatambuana vyema na kujua nna ya kuchaguana.

Tatu iweje umiliki muuchukue nyinyi bakwsta ili hali hii ni mali ya waislam wenyewe na jasho lao??

Bakwata wakaja juu na kusema kwamba wao hawawez kuisajili hali iliyopelekea sisi kuchukua documents hizo na kupeleka kwa sheikh kundecha ambae ni amir wa jumuiya ya Baraza Kuu la waislam Tanzania.

Huko usajili utafanyika kwan nacho ni chombo kinachotambuliwa kusheria.

Kwa kuwa bakwata ilianzishwa na makafiri kwa interests zao wacha tuwaachie chombo chao sisi tuzid kusonga mbele.

So kwa kumalizia hoja yako.

Sisi tunajua ccm sio msaada kwetu na hata siku moja hatuwez kuweka tumain letu kwa wanasiasa hata hao chadema.

Hilo ukae ukilifaham.

cc Ritz FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom