Hata "madheri wako" hujui kumbe kuwa aliolewa kisiasa ndiyo akakuzaa wewe pia kisiasa!Dini yenyewe ilianzishwa kisiasa kama chama cha walalamikaji unategemea wataishi aje? c ni kupewa ubwabwa tu kisha wanakurupuka kuropoka?
Ivi anaekunywa Kahawa na kuoa wake wengi na anaekunywa chang'aa na kuzini na wanawake wengi yupi afadhali dogo?Waoneeni huruma tu hao mambumbu wa darasa la pili hawana mbele wala nyuma wamekalia kucheza bao na kunywa kahawa na kuoa wake wengi wakati hawana uwezo.
Koments nyingi humu zinaonesha CDM ni genge la wakristo.Masheikh wamewaumbua mchana kweupee.HIVI MNAJIFANYA MMESAHAU KAULI ZA PENGO NA KILAINI NA WALAKA WA MAASKOFU?.ACHANA NA UDINI WENU NA NAWAPONGEZA MASHEIKH.MKUKI KWA NGURUWE........
Kumbe ndo mana Nyerere alisema dhambi ya ubaguzi haishi ee, alifanya ubaguzi wa elimu dhidi ya waislamu kiasi kwamba leo kila ofisi ratiio ya wasislamu kwa wasio waislamu ni 1/100. Matokeo yake ni kuzuka kwa tabaka mbili ambazo ni vi ngumu kuziunganisha so Magamba wanapeta tu, magamba wakihanithi waislamu, wakristo wanafurahia ikitokea magamba hao wakihanithi wakristo, waislamu wanafurahia-sioni umoja wa kuitoa kuwatoa magamba katika hali hii kama kule Zambia. Cuf kilipigiwa propaganda ya kuwa chama cha kiislamu, wakristo wakaamini then dhambi ileile inatumiwa dhidi ya chadema then waislamu wanaiamini-tumekwisha sie katika hali hii.

Dini yenyewe ilianzishwa kisiasa kama chama cha walalamikaji unategemea wataishi aje? c ni kupewa ubwabwa tu kisha wanakurupuka kuropoka?
Kumsingizia Nyerere kwa waislamu kukosa elimu ni kumuonea bure. Waislamu wangapi wamesoma shule za kikristo? Hata sasa ni waislamu wengi wanasoma seminari za kikristo. Hakuna mwislamu aliyenyimwa fursa ya kusoma kwa sababu ya dini yake.
Juzi sheikh mkuu amewashauri waislamu kuongeza bidii katika kujenga shule badala ya kujikita kujenga misikiti.
Kilichowaponza waislamu na kuwa nyuma kielimu ni sababu za kihistoria na mapokeo ya dini. Nyerere hakuleta dini ndani ya nchi hii kwahiyo hawezi kubebeshwa lawama.
shule za bakwata zilizopo zinafanana na seminari za kikristo kwa ufaulu na uendeshaji wake.Haya ndio mambo ya kujadiliwa na bakwata na si kupigia kampeni ccm.
Hey ma' fellow Muslims... Cnt we wake up... We ar bein used without any reason... Ngoja niwape siri, wafanya maamuz pale ccm ni christian, wana22mia kwa mgongo wa Rais.. Cnt we thnk why thr waz no any benefit we obtain relatn 2 our support 2 ccm... SABABU 2NA2MIKA KWA WAKRISTO KWA MGONGO WA RAIS MUSLIM, u al knw 2na rais sanamu he cant mek any decisn, na maamuz meng ya ccm yanakuwa influence na xstian waliopo ndan ya ccm, sasa 2baki na ujuha we2... 2tatumiwa na ku2pwa kama Condoms..
Kwa muda mrefu nilikuwa nikisikia kuwa Bakwata haipo kwa maslahi ya waislam,nikawa siamini kwa kuzani huenda kulikuwa na chuki miongoni mwa madhehebu ya kiislam.Tamko la bakwata tabora limenifanya niamini kuwa wapo kisiaza zaidi kuliko kidini.Kwamba wanawataka waislamu wote igunga wasimpigie kura mgombea wa chadema inaonyesha kuwa wanapiga kampeni.Hivi ni nani asiyejua kwamba suala la mkuu wa wilaya igunga lipo mahakamani? Bakwata inadhani waislam wote akili zao zinafanana na wao, hapana tumewastukia.Eti kabla ya kutolewa kwa tamko hilo walifanya kikao cha pamoja ccm kwenye hotel kwa mujibu wa Radio five Arusha 2:30 usiku ,hii ni aibu. Waislam tunapenda kuona chombo kinachotoa matamko baada kufanya utafiti sio kisiasa. Mfano mzuri ni namna kikwete alivyoijibu bakwata wakati wa baraza la Idd,ile ni aibu,hivi zile shule za bakwata zilizopo zinafanana na seminari za kikristo kwa ufaulu na uendeshaji wake.Haya ndio mambo ya kujadiliwa na bakwata na si kupigia kampeni ccm.
wewe ni kati ya hao mnaotumiwa kama condom halafu mnatupwa, mlitumiwa kumuingiza sheikh JK madarakani, leo kawageuka hakuna mahakama ya kadhi wala kurudishiwa shule, kwa ufupi kasema hana mpango na nyie. Sasa endeleeeni kutumika, mnahitaji kuamka na kujua mnatumiwa.Koments nyingi humu zinaonesha CDM ni genge la wakristo.Masheikh wamewaumbua mchana kweupee.HIVI MNAJIFANYA MMESAHAU KAULI ZA PENGO NA KILAINI NA WALAKA WA MAASKOFU?.ACHANA NA UDINI WENU NA NAWAPONGEZA MASHEIKH.MKUKI KWA NGURUWE........