Mtu kama makondakta hata akibaki nyumbani bado atazua taharuki.
Watu viburi sana marungu tu kama kenya ndo dawa!
Nilijua kuna mtu atasema hivyo haya upo sahihi asilimia mia moja!.Wakati mwingine tusiwe wajuaji!Wewe unayesema hivyo.
Cha ajabu kwa sasa upo mtaani unazunguka kutafuta kazi au upo likizo nyumbani.
Ila baba yako na mama yako wapo vibaruani..
Nina uhakika 100% huna KAZI.
Sent using Jamii Forums mobile app