Baki nyumbani.. Usishiriki kueneza

Baki nyumbani.. Usishiriki kueneza

.
IMG-20200328-WA0100.jpeg
IMG-20200328-WA0104.jpeg


Jr[emoji769]
 
*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!![emoji848] Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*

[emoji634] Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

[emoji631] United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

[emoji632] France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

[emoji629] Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

[emoji633] Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

[emoji1130] Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa [emoji1221]
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.[emoji22]

*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .

*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*[emoji1431]

Jr[emoji769]
 
Hivi ushawahi kufikiria nini kitatokea kama mtoto wako atapata maambukizi ya korona na akawekwa quarantine??
Ushawahi kuwaza kuwa hutaruhusiwa kutoka kwenda popote nje ya nyumba yako achilia mbali kwenda kumwangalia mwanao alowekwa quarantine?? Ushawahi kuwaza hilo[emoji17][emoji17][emoji17]
Unajua kwamba mtu akifa serikali ndo inamshughulikia kila kitu na hamuwezi kumzika???
Ni sawa na kusema kwamba kuanzia muda amegundulika na akatengwa, kuna uwezekano wa familia kutokumuona tena, labda tu kama atapona.
Sidhani kama unayajua haya, kwasbb kama ungeyajua ungefanya kila namna kujilinda wewe, wanao na familia yako kwa ujumla!!!
Usisikilize wala kuona aibu pale mtu anapokupa mkono ukakataa, pale unapojitenga na kuacha kutembelea ndugu au kwenda kwenye mikusanyiko.
Linda familia yako muda wote!!!
* kaa nyumbani na epuka wageni wasiokuwa wa lazima
*osha mikono yako na ya wanao mara kwa mara
* kunywa maji mengi mara kwa mara
* pendelea vyakula vya moto na vyenye kuongeza kinga mwili
*penda kufuatilia taarifa ya habari na kuwafundisha na wanao
* chukua hatua zote zinazoshauriwa na serikali ili kujikinga
*pamoja na yote tusisahau kumuomba Mungu atulinde sisi na dunia nzima kwa ujumla[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
*It's me machengajuma@gmail.com*

Jr[emoji769]
 
Hii ni kutufahamisha sisi kuwa pH ya virusi vya corona inatofautiana kutoka 5.5 hadi 8.5.

Wote tunahitaji kufanya, kupinga virusi vya corona, tunahitaji kuchukua zaidi ya vyakula vya alkali ambavyo viko juu ya kiwango cha juu cha pH cha Virusi.

Ambavyo ni:

* Limao- 9.9pH *
* Chenza- 8.2pH *
* Parachichi- 15.6pH *
* Vitunguu - 13.2pH *
* Maembe - 8.7pH *
* Tangerine - 8.5pH *
* Mananasi - 12.7pH *
* Dandelion - 22.7pH *
* chungwa - 9.2pH *

Unajuaje kuwa una coronavirus?
1. * Kuwashwa kwenye koo
2. * kukauka koo
3. * Kikohozi kikavu. *
4. Joto kubwa
5. kupumua kwa tabu

kwa hivyo unapoona vitu hivi haraka chukua maji ya moto kiasi weka limao kisha kunywa

Usibakie na habari hii peke yako. Sambaza kwa familia yako yote na marafiki. Mungu akubariki.

Jr[emoji769]
 
"I was initially angry about the move to test vaccines on Africans,but I changed my mind. An African proverb says that a twine that grows out of the wood and start growing on the footpaths should expect to be matched upon. Only Sani Abacha's loots can sponsor 40 researches in Africa. The whites are using the money to produce the vaccine and you expect them to test it out on their people, you must be kidding. Direct your anger at something else. Can't you see Congolese president have accepted that the vaccine be tested in his country? He does not have a choice. If you cannot sing, you must dance but if you cannot dance, you must at least clap your hands or nod your head. If you cannot produce vaccine, and you refuse to sponsor your people to produce one, then you must submit yourself to have the vaccine tested in your country.
America have established grants to help their scientists carry out research on the virus and come up with a cure.Have you ever seen an African billionaire sponsor any research or scientific innovation in Africa? Never! But during election campaigns, they donate fortunes to political parties. Which is more important, political parties or research and technology development? Be sincere in your answers. Will you test your vaccine on someone who is sponsoring your research? No way," he said.

Source:
Reasons Why Africans Should Agree To Vaccine Testing - Bill Gates

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom