Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,958
- 210,328
Fimbo zenyewe si zilikuwa moja moja. Kuna yule aliyeshikwa na askari wa3, yule ndio aliipata fresh
Fimbo zenyewe si zilikuwa moja moja. Kuna yule aliyeshikwa na askari wa3, yule ndio aliipata fresh
Jamani 😀😀
Haha kuna mwingine alilazwa chini kabisa akala stick za matako
Mtu unatoka masjid na udhu wako unafikia mikwaju[emoji23][emoji23].maustadh hawakukumbuka kuvaa hata kandambili.ilikua ni mbio tu
Kukaa nyumbani tunaweza.
Ila maisha yamekuwa magumu sanaa aseee.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa sababu inaua,inatakiwa rangi nyekundu. Kwa vile wewe ni thimba ukaona utubatize #corona au siyo. Tuoshe mikono kwa sabuni na kwa maji yanayotiririka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kolona haina maana kabisaMtu unatoka masjid na udhu wako unafikia mikwaju[emoji23][emoji23].maustadh hawakukumbuka hatakuvaa hata kandambili.ilikua ni mbio tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hata nywele tusinyoe mkuu? Dah! Na minywele yangu inavyokuwa lazima niwe bob Marley wallah [emoji2][emoji2][emoji2]
Wewe unayesema hivyo.
Cha ajabu kwa sasa upo mtaani unazunguka kutafuta kazi au upo likizo nyumbani.
Ila baba yako na mama yako wapo vibaruani..
Nina uhakika 100% huna KAZI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi tumia ule ujuzi wako kumziba mdomo ?[emoji30][emoji30][emoji23]
Jr[emoji769]