Baki njia kuu, epuka Michepuko!


aiseeee! Nafikiri umeona jinsi kulivyo na sababu nyingi za watu kuto kutegemea njia kuu hasa ulizo sema. Mi na shauri tuu watu kuvaa helment tuu wachepukapo.
 
Mkumbuke huko kwenye vichochoro ndo kuna misumari na miba mikubwa mtatoboa tairi zenu hata mkija kwenye njia kuu mnatembelea viraka.

Kweli vichochoro ni hatari. Kuhamaki hata njia kuu huwezi tena sasa hasara tu. Utalala njiani kama sio makini!!
 
Me tangazo ndo limeniacha hoi huyo fundi magari alivyo anza kwa kuisifia simu aliyonunuliwa!
 
Nikiwa na Vitz nibaki njia kuu..
Hata nikiwa na 4WD OFF ROAD??!

Kuna gari zinapendeza ukipasua short cut hasa hii ambayo ni rough road.
:thumbup:

Mpwa....ukiwa na vitz usipite short cut.

Lakinibukiwa na Mnyama......alaaaaa...hatari sana shehe!!

Haha bora walivyoamua kutumia Maputo kufikisha ujumbe, wangesema waitishe press conference afu waandishi wenyewe ndo wenye mawazo kama haya, mbona wangeahirisha hahaha
 
Dah mim nilikuwa najua ni maswala ya madereva waache kupita pembeni wanapokuta kuna foleni barabara kuu..
 
Huu msemo unaweza ukawa na maana nying sana, ila ni ujumbe mzito wenye fumbo kidogo lakin unaeleweka..


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwa kweli PSI wameamua kutukanganya .........ila ile UKIMWI unaua kidoooogo ilitoa mwanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…