Bakhresa tajiri asiyependa camera

Kuandika tu hiyo content kumhusu yeye hiyo ni kazi kwa dunia ya Sasa..okota mkuu
Nimeandika kama funzo kwetu sote kuwa matendo mema yanaongea na kuonekana kuliko maneno na sura zetu
 
Matajiri kama Cheaf Godlove ndio wapo kwa Internet kila siku
 
Mhh! Hizi ni porojo tena zilizojaa husda. Duh! We ni wale wanaoshinda kijiweni na kujifanya unajua kila kitu. Uzi wa hovyo
 
Binafsi siifahamu hata sura yake ila kwa picha namuona ni tajiri humble sana na mwenye mafanikio halisi. Mzee Mengi nilimuona ni tajiri aliyebarikiwa na alikuwa halisi, humble pia sidhani kama alikuwa na show off.
 
Mengi alikuwa good sema alikuwa ni mtu wa kujionyesha sana akisaidia
 
Hiyo sasa si style ya mtu ya kuishi mkuu. Haihusiani na hela. Kuwa waz haitgemei ulizonazo ila mapenz yako kwenye huo uwaz. Kuna watu hawana buku na hawapend pia kuonekana. Kutaka tajir asijionyeshe haimaanishi ni mnyenyekevu ila ni life style. Sisi ndio washamba wa kufuatilia life la watu
 
Hoja nzuri mno Mkuu
 
Umeongea Kwa ukali Sana .ebu agiza 🍺🍺 nitalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…