Hana kelele kabisa. Ana wajukuu zake ukikutana nao ndipo utaelewa jeuri ya pesa.Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana
Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa
Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi nikiwa Dar alikuwa akifuturisha watu zaidi ya 3000 huko Chamazi na watu wengine pale Buguruni
Pia ana foundation zake zimazo Saidia watu ambazo Huwa haziweki wazi, yaani anatoa msaada kimya kimya
Matajiri wengine kama alivokuwa Mzee Mengi kila siku ilikuwa lazima umwone IPP media ila sidhani kama Bakhresa ashawahi kuonekana Azam tv
Najua ni ngumu Kwa umaarufu wake na utajiri wake kutotokea hadharani yeye anaongea Kwa matendo yake
Binafsi nafurahia maisha yake
Mungu akuweke sana tajiri mtu wa watu Bakhresa
Natamani kuwa chawa wako ila ndo ivo wewe hutaki machawa
Maccm mnawaza kuwa machawa tuu, badala kuwaza akupe ajira unawaza uchawa.Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana
Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa
Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi nikiwa Dar alikuwa akifuturisha watu zaidi ya 3000 huko Chamazi na watu wengine pale Buguruni
Pia ana foundation zake zimazo Saidia watu ambazo Huwa haziweki wazi, yaani anatoa msaada kimya kimya
Matajiri wengine kama alivokuwa Mzee Mengi kila siku ilikuwa lazima umwone IPP media ila sidhani kama Bakhresa ashawahi kuonekana Azam tv
Najua ni ngumu Kwa umaarufu wake na utajiri wake kutotokea hadharani yeye anaongea Kwa matendo yake
Binafsi nafurahia maisha yake
Mungu akuweke sana tajiri mtu wa watu Bakhresa
Natamani kuwa chawa wako ila ndo ivo wewe hutaki machawa
We bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana
Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa
Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi nikiwa Dar alikuwa akifuturisha watu zaidi ya 3000 huko Chamazi na watu wengine pale Buguruni
Pia ana foundation zake zimazo Saidia watu ambazo Huwa haziweki wazi, yaani anatoa msaada kimya kimya
Matajiri wengine kama alivokuwa Mzee Mengi kila siku ilikuwa lazima umwone IPP media ila sidhani kama Bakhresa ashawahi kuonekana Azam tv
Najua ni ngumu Kwa umaarufu wake na utajiri wake kutotokea hadharani yeye anaongea Kwa matendo yake
Binafsi nafurahia maisha yake
Mungu akuweke sana tajiri mtu wa watu Bakhresa
Natamani kuwa chawa wako ila ndo ivo wewe hutaki machawa
Sijawahi kumwonaMh! mbona mara kadhaa ameshaonekana na anafahamika sasahivi vizuri tu!, katika kipindi alichokuwa anaonekana sana ni kipindi cha magufuli sasahivi mh! si sana..
wakati wa uzinduzi wa hotel yake verde kule Zanzibar akiwa na magufuli, pia kuna kipindi alihojiwa azam tv.
Sijawahi kumwona
Umeongea pumbaWe bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?
Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!
Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!
Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!
Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?
Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!
Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
Umenifungua sana akiliWe bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?
Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!
Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!
Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!
Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?
Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!
Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
We weka mkuu Kuna wakuu wake wapo humu wanapita pitaMzee wetu Bakhresa sio mtu wa hivo
Tayari makopo ya jamii forum yamefika nilijua lazima kopo hata Moja litokeeWe bado unafikiri hawa jamaa wa Asia kina Mo,Bakresa,GSM ni matajiri sio!!?
Nani kakwambia !!?hao ni waajiriwa wanaopata faida ya kusimamia biashara za madon wa kimedani wazawa walioshika ......... Nchini!!
Usijidanganye ni kama pale Kenya wasomali wanavyoendeleza Mali za kina Odinga ,Uhuru na co!!
Nadhani,usijidanganye na stori za kuuza vishikizo na vijihoteli sijui kitu gani!wao wanabeba business idea halafu mitaji ni ya wakubwa wakubwa elewa neno wakubwa!
Nawaza tu coz Duniani kote ndivyo ilivyo ni SAWA na Elon musk na utajiri wake unadhani ni wake au wa marekani kupitia yeye!!!?
Unakumbuka alifilisika kabisa akataka kurudi south ndio kitengo Cha america wakamuita na kumpa deal na Sasa Brand yake inalindwa na Marekani kama tajiri mkubwa!
Nchi ndio hutengeneza matajiri na maskini pia,juhudi pekee utaishia kupata Hela ya kubadili mboga ,kujenga na vigari kadhaa lakini don kabisa aiseh ACHA kabisa mkuu!!
Ni kuokota tu maokotoSitaki pesa ya Bure