mwanaharakati5
Member
- Mar 2, 2012
- 52
- 5
Unaweza kuwataja waislamu waliopo MKOMBOZI Bank?Acha point za kitoto hapa. Mkiambiwa ukweli mnaita ubaguzi.
Mm napo fanya Kazi ni RC institution, ila wameajiri na Waislam, ebu ww tutajie Mfanyakazi mkiristo Amana Bank au Shule yoyote ya Muislam?
Kati ya watu 10 wenye degree. Muislam ni mmoja (1), kati 100 six leavers 100 waislam ni 20, iweje kwenye ajira kampuni X iwe vice versa?
Mf. Wachaga wamesoma sn hata ufanye nn kila Benki utawakuta wengi tu. Haitatokea kwa Tz hii Benki kukawa na Wazaramo wengi kuliko wachaga. Reason wamesoma!!
Mm huwa sina lugha za kiswahili, za kupindisha ukweli. Napiga mlemle tu.
Ukipenda ujinyonge. Ukweli unabaki palepale.
Basi haya mrembo.si naenda tia hina tu.........nao urembo ujue.....
Nenda university au Sec yoyote ya Wakiristo kuanzia wanafunzi hadi wafanyakazi ni mchanganyiko dini zote.Unaweza kuwataja waislamu waliopo MKOMBOZI Bank?
Waislam pia ni sehemu ya hilo taifa ndugu.Kiwango chako cha kufikiri ni cha chini sana.Uwekezaji wake una tija kwa waislam na sio kwa taifa,binafsi sina cha kumpongeza labda shehe abdallah,juma na khamis wao kwao hii ni fursa sishangai wakimpgia chapuo hapa
Anzisha kampuni yako uajiri Wakristo.Nenda university au Sec yoyote ya Wakiristo kuanzia wanafunzi hadi wafanyakazi ni mchanganyiko dini zote.
Haya nenda Muslim Sec schools hata mlinzi tu ni muslim.
My point is Why?? Naomba jibu hapa kwa Bhkressa!!
hii kaliIngekuwa limenunuliwa na serikali, wangeleta used, bovu, bei wanafanya x2
Ninyi Magufuli kateua tu, mmepiga mayowe balaa. Ila nyie kuhoji tu ni kama tusi kwenu!!Anzisha kampuni yako uajiri Wakristo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] muache tu[emoji4] [emoji4] [emoji4]Uchochezi.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unesahau atasema alete Antonov,et al[emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndio wale wale. Na akileta Ndege, atasema kaleta Boeing, alete Airbus, BAKHRESSA akileta Airbus atasema alete midege ya kivita ka ile ya Russia. Misisiemu sijui ikoje!
Hapana bhana mbona wakristo wapo!? Tena naweza wataja kwa majina asee,Hivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Ndio wapo ila wachache. Mf TV wafanyakazi wengi wameletwa kutokana na CV zao tu (umahiri). Tena Tv wafanyakazi huwa si zaidi ya 20, hapo wakigawana wote tena ni wachache sn.Hapana bhana mbona wakristo wapo!? Tena naweza wataja kwa majina asee,
Ww ulitaka wawe wskiristoHivi kwann huyu SAID BAKHRESA karibu asilimia 99.999% ya wafanyakazi wake wengi ninWaislam tu??
Atangaze watu wa apply.Ww ulitaka wawe wskiristo
Unafikiri ajawai kuwafikiria?Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.