Kumbe ananyoa kama mimi eeh!!!
Mbona JK kama mtangazaji halafu huyo Bakhresa kama mwalikwa kwenye kipindi!
Ndo hvy ameelikwa, hana chake hapo!
nikiambiwa hiyo studio imegharimu bilion 50,sawa na semi trail kama 100 za ukweli,nachoka kabisaaa
Hivi studio yenyewe ipo pale Tazara kabla ya kuvuka mataa ukitokea mjini (upande wa kulia)? Maana mandhari ya nje ya lile jengo huwa yananichosha sana. Hapavutii. Vumbi tupu.
​ni kweli kabisa mkuu,miaka michache ijayo,naiona azam media ikitamba,na kukamata usukani..
Baadhi yetu huwa tunapotea professionals tulizoumbiwa na mara nyingi tunagundua mwishoni, inaelekea hapa ndipo palikuwa mahala pake!Mbona JK kama mtangazaji halafu huyo Bakhresa kama mwalikwa kwenye kipindi!