nyamchele
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 1,325
- 1,038
nikiambiwa hiyo studio imegharimu bilion 50,sawa na semi trail kama 100 za ukweli,nachoka kabisaaa
Kwa Bakhressa ila ya mboga tu hiyo.....
nikiambiwa hiyo studio imegharimu bilion 50,sawa na semi trail kama 100 za ukweli,nachoka kabisaaa
Mengi na media zake ambazo hazi grow aanze kuomba poo!
Wenye fedha wapo kiutekelezaji zaidi, wengine ni wazee wa sound ndio maana unaona jamaa kama mtangazajiMbona JK kama mtangazaji halafu huyo Bakhresa kama mwalikwa kwenye kipindi!
Inawezekana akawa ndio Bakhresa mwenyewe..........Hahahahaha mkuu naona umechimba bonge biti hapo kwenye herufi kubwa hapo
Ila wewe choka mbaya sana.