medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,442
- 1,527
Huyo ni mtoto wa Bakhresa
Miaka michache ijayo,naiona Azam Media ikitamba,na kukamata usukani..
Mbona na yeye jina la pili ni Bakhresa au kuna mtu specific anaitwa Bakhresa, mfano mie Jodoki Kalimilo, akaja mwingine anaitwa Daud Kalimilo na yeye si ni Kalimilo tu kwa sir namesHuyo ni mtoto wa Bakhresa
Kumbe ananyoa kama mimi eeh!!!
Mbona hajavaa kanzu?
Hivi studio yenyewe ipo pale Tazara kabla ya kuvuka mataa ukitokea mjini (upande wa kulia)? Maana mandhari ya nje ya lile jengo huwa yananichosha sana. Hapavutii. Vumbi tupu.