Bakheressa na JK....uso kwa uso.

Bakheressa na JK....uso kwa uso.

Huy jamaa kanifurahisha sana hakuna mahali nimesoma leo alafu mtu akasema anamjua safi sana tajiri wa kweli sio wa kubabaisha kama kina flani:a s 465::a s 465:
 
thibitisha mkuu...
Mkuu huyo ni mwenyewe, mi nimeshafanya pale tazara, nilikuwa technicia miaka ya 2004,, jamaa aliletaga mashine zake za maji mpya! tulikuwa tunazita chum power! alikuwa anakupigia simu live nataka kuongea na fundi, then anataka uumpe technical details, za mashine na production zake!
Then akipata muda akija anataka muongee physical. maboss wengi walikuwa wanamkimbia maana jamaa achelewi kukufukuza kazi kama una longolongo!
Nilipiga mzigo chini nikaenda shule na maslahi pia yalikuwa madogo kutokana na malengo niliyojiwekea. ila huyo ndiyeee, Yule mwanae Omar ndio msimamizi sana wa shughuri zake.! pale tazara, pana maji,juice, ngano,bags,that time sjui now days! Jamaa anajiri watu professionals na pia watu wa chini...! ila pemba, unguja inaongoza at that time ila sijui now days.
 
Ni kweli kajitahidi sana na kawaida ya viumbe huwa hawakosi ila na kizuri huwa hakisosi doa
 
Hivi studio yenyewe ipo pale Tazara kabla ya kuvuka mataa ukitokea mjini (upande wa kulia)? Maana mandhari ya nje ya lile jengo huwa yananichosha sana. Hapavutii. Vumbi tupu.[/QUOTE
Ipo Tabata kituo cha Tiot
 
Mkuu huyo ni mwenyewe, mi nimeshafanya pale tazara, nilikuwa technicia miaka ya 2004,, jamaa aliletaga mashine zake za maji mpya! tulikuwa tunazita chum power! alikuwa anakupigia simu live nataka kuongea na fundi, then anataka uumpe technical details, za mashine na production zake!
Then akipata muda akija anataka muongee physical. maboss wengi walikuwa wanamkimbia maana jamaa achelewi kukufukuza kazi kama una longolongo!
Nilipiga mzigo chini nikaenda shule na maslahi pia yalikuwa madogo kutokana na malengo niliyojiwekea. ila huyo ndiyeee, Yule mwanae Omar ndio msimamizi sana wa shughuri zake.! pale tazara, pana maji,juice, ngano,bags,that time sjui now days! Jamaa anajiri watu professionals na pia watu wa chini...! ila pemba, unguja inaongoza at that time ila sijui now days.

Omary alishafariki, yupo Yusuf sasa ndio anasimamia
 
Huyu jamaa ni nadra sana kumuona hadharani...

attachment.php

Said Bakhresa ni Tajiri unataka umuone kila wakati mkuu MUSSOLIN
 
Last edited by a moderator:
Anaangalia kama haoni. Anawaza fursa tu.. He's truly boss of the bosses.
 
Hahahahaha mkuu naona umechimba bonge biti hapo kwenye herufi kubwa hapo
Naamini si vizuri kumdharau mtu usiyemfahamu. Kuna watu wengi style ya huyo jamaa huwa arrogant na mara nyingi huwa na matatizo ya kimaisha...
 
Back
Top Bottom