Bakheressa na JK....uso kwa uso.

Bakheressa na JK....uso kwa uso.

Kweli ni mbwembwe nyingi tu mzee kamzifia kua tajir kodi analipa vzr matajir hawa wengine kodi wanakwepa na bado hata kuwalipa wafanyakazi shughul
 
Wataalam wa mavazi, kama mmeangalia bakhressa alivyotupia utakubaliana nami kuwa anazitendea haki fedha zake, angalia tai yake uilinganishe na ya jk, yaani tai ya jk imerundikana shingoni kama kitumbua kilichododa, Bakhressa tai kama Donald Rumsfield (spelling uuuuuwi) au G.W.B

Tai ziko sawa tuu, unadhani Kikwete tai yake ya bei rahisi?ukunjaji tuu
 
Wataalam wa mavazi, kama mmeangalia bakhressa alivyotupia utakubaliana nami kuwa anazitendea haki fedha zake, angalia tai yake uilinganishe na ya jk, yaani tai ya jk imerundikana shingoni kama kitumbua kilichododa, Bakhressa tai kama Donald Rumsfield (spelling uuuuuwi) au G.W.B

Hahah watu mna mAneno dah!! Ww utakuwa mzaramo
 
Wataalam wa mavazi, kama mmeangalia bakhressa alivyotupia utakubaliana nami kuwa anazitendea haki fedha zake, angalia tai yake uilinganishe na ya jk, yaani tai ya jk imerundikana shingoni kama kitumbua kilichododa, Bakhressa tai kama Donald Rumsfield (spelling uuuuuwi) au G.W.B

JK yuko stressed sana, mpaka nguo zinampwaya siku hizi.
 
Huyu bakhresa hata kama una demu wako ukamfuma nae baada ya kukasirika unajichekesha tu huku unamwambia ukimaliza maongezi nitaomba na mimi niongee nae huyo dada samahani!
 
kwanini mkuu?
 
na ukimkuta na mke wako..?
 
ila mwenye NTV ana mkwanja mrefu sana
Hata mwenye CNN. Jamaa ana leagues za Tanzania na Uganda, yupo vizuri Burundi na ninahisi ataanza ku-tap markets za hizi nchi mbili (Uganda and Burundi), nadhani yupo kwenye ving'amuzi mpaka Kenya (Maarufu Mombasa).
Kwenye Media East Africa ni mtu wa kuan galiwa ... anakuja juu na ameshanusa fedha kwenye media.
 
Matajiri wanakaaga kimya kama Bakhresa maskini jeuri wanapiga kelele dah Huyu jamaa ananinspire sana huku uchagani kuna watu wana nyumba A kupanga manzese hamkai kwa amani japokuwa sio mchaga mwenzangu lakini ananiinspire
 
Ndio maana hata mfalme Sulemani katika Mithali 13:7 alisema hivi, Kuna mtu mwenye kujitajirisha, lakini hana kitu; Kuna ajifanyaye kuwa maskini, lakini ana mali nyingi.
 
Huyo BKSA, hapendi kujigamba au kujionesha ni muungwana wa kawaida...Sema Vijana wake ndo ktk utumbuaji Melliniumu!!
 
Back
Top Bottom