Kweli wee kizeee kigagula
Zali la Mental ni Prof Jay
Inspector Haroun aliimba Mtoto wa geti kali
hivi hii bahati ingekuangukia wewe
ungesemaje?!!maana na mimi shukrani zangu
kwako zipo njiani hahahahaaa!!!!
Partner, wajua akilini mwangu na moyoni mwangu,
Hakiingii kingine, zaidi yako wangu,
Kongosho si wangu, yeye wake mzungu,
Usihamaki ukaumia, ukaja ntia machungu,
ahahhahhahah Fixed Point na BAK wanaitana hendisamu na cutie!\
hilo moja !
lakini la pili ni kuwa bak siku hiz anaitwa LIFE SAVER!\
hz habari zote mbili una taarifa nazo mwanafunzi wangu!?
jishikilie......Mwalimu wangu siku mbili hizi hadi ziara ya Pinda iishe huku Ruvuma, ni lizombe na shot-kulia one-two kwa kwenda mbele, sasa yanajojiri hapa mjini sijayajua bado
Fixed Point ni shemeji yangu mpenzi na rafiki yangu, hajanambia bado hii makitu,
na je mkuu mwenzangu Dark City ana habari hizi! Chinekeeee angalieni jamani msije mkaleta madhara mtumbwi wenyewe huu hauna maboya ya life saving!
ha haa, hilo dongo lajua la kiuchokozi, tutamaliziana chumbani, lol!Nipo mdogo wangu, ingawa robo robo maana vibosile wametuvamia si pole pole yaani.
snowhite njoo uchukue pw ya bak kanipa ruhusa nikupe....Utajijuuuuu 🙂🙂 Nimesema hivi mpe pw mdogo wako 🙂🙂
ha haaa, ndo yanaanza hivyo, tutafika tuahahahahha af hiii HANDSOME NA CUTIE hiii imeanza lini?
uuuuwih! Kaizer njoo
njoo huku peke yangu siwezi ujue!
ha haaa, rafiki naona tunaachanaga tu.....Leo swaumu imenikalia vibaya na hadi sasa sijapata mwaliko wa futari. Ila ngoja nivute pumzi nitawahi tu. Hamna awali mbovu shosti hehehe. Nimekumisije yale mashopping yetu. Hivi huyu BAK ni kakako ama shemegi? Hatuwezi kumchuna iddi manake mafungo yote mawazo yapo kwenye kiwaloooo
snowhite njoo uchukue pw ya bak kanipa ruhusa nikupe....
ukajisomeage huko huko mwenyewe
ha haaa, kumbe nina funguo za kutengenezea pw yako?Mwambie mdogo wako asiikopi 🙂🙂 na kuingia huko ni kwa masaa 24 tu 🙂 akimaliza atakayoyasoma huko ayaache huko huko 🙂🙂 na nikigundua kuna mtu kaingia baada ya masaa 24 ambayo mdogo wako amepewa ruhusa ya kuingia na kusoma pm zote basi nitakuomba ucreate a new password 🙂🙂 LoL!!!!
Mwalimu wangu siku mbili hizi hadi ziara ya Pinda iishe huku Ruvuma, ni lizombe na shot-kulia one-two kwa kwenda mbele, sasa yanajojiri hapa mjini sijayajua bado
Fixed Point ni shemeji yangu mpenzi na rafiki yangu, hajanambia bado hii makitu,
na je mkuu mwenzangu Dark City ana habari hizi! Chinekeeee angalieni jamani msije mkaleta madhara mtumbwi wenyewe huu hauna maboya ya life saving!