snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
leo hii dadangu wa kuitwa mkuu!Hahahahaha lol! Nyie watu naona mnachombeza ile mbaya lol! mie sina mbavu kutokana na yaliyoandikwaka katika huu uzi. lol! Cutie Fixed Point hata wewe Mkuu!? Haya banaa dawa yako iko jikoni? Kongosho kwani ulidhani BAK ana uso wa dagaa!? 🙂🙂 snowhite dada yako ana pw siku nyingi tu mwambie akupe haraka sana 🙂🙂 Heavenonearth, very true it feels so good to be appreciated by fellow human beings, Pilot afrodenzi ahsante sana Mkuu
sikubali!
ahahahhaha lakini ulianza kumwita cutie kwanza enh?
il sasa si unajua tonge la mwisho ndo linakomba mboga!
LAKINI saaaaasa?sasa!
mbona leo huweki tule tuwimbo!
NAULIZA TU!