BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Chezeya bidhaa adimu Babu Dark City!!! Naringaje na jina langu jipya!!! BAK aka LIFE SAVER 🙂🙂
Last edited by a moderator:
,............
Nilijua utachonga tu,hujambo lakini konnie?
as, umeona BAk anavyouma vijiti? FUll maaibu
Bishanga kigagula asiyejielewaBishanga huoni wivu? Maana nnavyokujua ndugu yangu wewe kwa majilasi!
adhabu yako sikuandikii verseili ili iku nyingine usirudie kumsololesha mtu mbele yangu!
cc Kongosho
Nilijua una moyo, wa upole na kusamehe,basi nimekusamehe,kukuona wakosa la kusema hiv kwangu mie ni muhali!
yangu mie nae wewe,twayamaliza upenuniNilijua una moyo, wa upole na kusamehe,
Sio wa kisasi na kujiua, kama ndugu zangu wahehe,
Nilikuwa nipo tayari, kumuona kasisi na hata shehe,
Kwa busara kwa waje, Ili unisamehe,