Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

Well said BAK you deserved this
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kukataliwa kubaya mwacheni ababaiikeee
Kukataliwa kubaya mwacheni ababaike tililililili
Ajifanya mshikaji kutaka mambo kwa puuupa
Afifanya mshkaji kutaka mambo kwa pupa tilililili

Na nguo hizi si zakoooo
Na viatu ni vya wiiiiziiiiii
ahahahhahahahhahahahah sitaki kuamini kuwa na wewe umo!lol!
ni huyu M'Jr tuu!
ngoja nimuanzishie sredi!
 
Last edited by a moderator:
Namna hiyo mkuu
Hahahahaha lol! Nyie watu naona mnachombeza ile mbaya lol! mie sina mbavu kutokana na yaliyoandikwaka katika huu uzi. Nyani Ngabu, Gaijin, mwekundu, VUVUZELA, Mbwiga_Plus, Mrembo by Nature, HorsePower, Baba V, watu8, sakute same, Toria, Chujio, Bujibuji, mnyawezi wa urambo, Kin'gasti ahsante sana Wakuu lol! 🙂🙂🙂lol! Cutie Fixed Point hata wewe Mkuu!? Haya banaa dawa yako iko jikoni? Kongosho kwani ulidhani BAK ana uso wa dagaa!? 🙂🙂 snowhite, dada yako ana pw siku nyingi tu mwambie akupe haraka sana 🙂🙂 Heaven on earth, very true it feels so good to be appreciated by fellow human beings, Pilot afrodenzi ahsante sana Mkuu ombi lako nimelisikia.

Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
yangu mie nae wewe,twayamaliza upenuni
si kasisi wala shehe ,ajuaye ya moyoni
rahazo siachi kwa kelele,za Kongosho jukwaani
kisasi sifanyi na moyo,adhabu nijipe ya nini?
Umenifanya nitabasamu, na moyo wangu umetua,
Maneno yako yalo matamu, kushinda tende na halua,
Siku zote hunishi hamu, kila nipigapo hatua,
Si chit chat wala MMU, ya kwetu wenyewe twaamua,
 
I have never bought her
I am not buying her
I will never buy her

Tenses; CC mwalimu wangu wa Ushindi Primary School
ahahahhahahhahhahahha partber!umenipa cheko asubuhi mwanana kama hii!
unakumbuka jedwali la tenses weye!
kitu cha NOW,YESTERDAY,TOMORROW,EVERYDAY!
sosi mwalimu wangu wa Mlimani Primary School
 
Dah we acha tu, enzi hizo Mlimani ilikuwa shule ya high class kweli kweli

Sasa nikuchekeshe partner, nikiwa darasa la nne walikuja wanafunzi wa IST shuleni kwetu (tulikuwa shule marafiki so wakati mwingine si tulikuwa tunaenda kwao au wao wanakuja kwetu) sasa si nikakurupushwa niongee nao hao wazungu........uwiiii kwanini nisisahau mpaka jina langu!
 
Umenifanya nitabasamu, na moyo wangu umetua,
Maneno yako yalo matamu, kushinda tende na halua,
Siku zote hunishi hamu, kila nipigapo hatua,
Si chit chat wala MMU, ya kwetu wenyewe twaamua,
moyo utulize utue,wahka sijipe asilani,
sipate puresha na mie,sifazo wajua kwa ndani
kiti wangu ndie wewe,ruhani sina mwingine wa ubani!
 
Dah we acha tu, enzi hizo Mlimani ilikuwa shule ya high class kweli kweli

Sasa nikuchekeshe partner, nikiwa darasa la nne walikuja wanafunzi wa IST shuleni kwetu (tulikuwa shule marafiki so wakati mwingine si tulikuwa tunaenda kwao au wao wanakuja kwetu) sasa si nikakurupushwa niongee nao hao wazungu........uwiiii kwanini nisisahau mpaka jina langu!
ahahahhahahahhahahhaha kama nakuona vile!
English ukiongea muda mrefu sana unasikia njaa ujue!oh!
huchelewi kuomba poo!
 
Ah ndio maana huwa sipendi kujitia njaa za bure, siku hizi kama nafanya presentation na idadi ya waswahili ni kubwa kuliko wazungu nagonga swanglish tu
 
Kumbe kupendwa raha sana etiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!

Naona BAK ana-ejoy kuwa a happy new convert...lol!!

Hongera zake .....bila kinyongo kwa kweli...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Aiseeeeeeeeeeeee!(machozi ya furaha yamenitoka wapendwa,I Feel so proud to know we are together like this!
Kwa heshima na taadhima!Naomba kuwashukuru wote mliojitoa na kutoa muda wenu adimu kuchangia thread hii, pia kwa BAK mwenyewe kushukuru,huo ndo ubinaadamu!nanyi kuonyesha upendo wenu kwa ndugu yetu kipenzi BAK..................KWELI sikukosea kumpongeza nadhani wenyewe mmeona hakuna aliyepinga mbali na utani wa hapa na pale lakini yote ni kuonyesha uungwaji wa mkono kwa yote anayofanya mpendwa wenu nanikiri tu ni KIPENZI cha wengi!....popote alipo mimi namwambia tena,azidi kumuomba Mungu mana ukiona kwenye jamii kama hii ya forum tena kwa watu usiowaona wakikusifu basi ujue una kitu cha ziada na tofauti na zaidi sana apende kusaidia yatima na wasiojiweza pale Mungu anapomjaalia,iyo itamfanya kujiongezea thawabu na Bahati!.....na hili lile fundisho kwetu sote tupende kujitoa kwa wenzetu tuwe macho yao pale wanapokuwa hawaoni,tuwe miguu yao pale ambapo hawatembei,kwani kwa kufanya ivyo tutakuwa tunabarikiwa sana!Hata ushauri wa kujenga pia ni jambo zuri sana tusivunjane moyo kwani kuna wakati huwa mgumu sana kwenye maisha na wengi wetu kimbilio huwa hapa Jf na kwa upendo wako au ushauri wako mzuri unakuta lile tatizo la mhusika linapata utatuzi au unafuu ...Back to BAK....A new name for you now is LIFE SAVER......Please ACCEPT it,it will be my Pleasure! hope to see you one day if GOD WISHES!
I dedicate a song by ..........(It MUST HAVE BEEN LOVE).....hope you know the song and dont forget this....To love and to be loved is the greatest happiness of the Existence!
 
cc. snowhite....
ila Heloo, sijaelewa hiyo dedication ya "it must have been love"..... kwani imekwisha ghafla?
usifanye hivyo bwana.... uta-break heart ya BAK
chagua wimbo mwingine, please
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom