Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

sijui nimuitie partner wangu M'Jr amsaidie,
Partner mzima wewe, wajionaje na khali,
Ama baada ya hilo, nimekumiss ewe kigoli,
Nakutafuta hapa na pale, kote naona kufuli,
macho yamenitoka, kama nimepoteza nauli,

Nafurahi nimekuona, siku hii ya kwanza ya wiki,
Jua lawaka kwa ukali, upepo nao haushikiki,
Siku nazo zenda mbio, kila kona mikikimikiki,
Nafurahi nimekuona, kwenye kiwanja chetu hiki,
 
snowhite dada yako siku zote ni Cutie with capital C 🙂🙂 wewe mwenyewe unajua na hilo Mkuu ni heshima kubwa niliyokuwa nayo kwake 🙂 🙂 na weye huachi kuuliza maswali magumu banaaa!? LoL!! 🙂🙂

leo hii dadangu wa kuitwa mkuu!
sikubali!
ahahahhaha lakini ulianza kumwita cutie kwanza enh?
il sasa si unajua tonge la mwisho ndo linakomba mboga!

LAKINI saaaaasa?sasa!
mbona leo huweki tule tuwimbo!
NAULIZA TU!
 
Last edited by a moderator:
Partner mzima wewe, wajionaje na khali,
Ama baada ya hilo, nimekumiss ewe kigoli,
Nakutafuta hapa na pale, kote naona kufuli,
macho yamenitoka, kama nimepoteza nauli,

Nafurahi nimekuona, siku hii ya kwanza ya wiki,
Jua lawaka kwa ukali, upepo nao haushikiki,
Siku nazo zenda mbio, kila kona mikikimikiki,
Nafurahi nimekuona, kwenye kiwanja chetu hiki,

khali yangu dhofhali,sinayo jambo kwa kweli,
sijui u wapi mahali,sinaye wa kuuliza mie mwali,
umerudi nashukuru,hunachi nikaita mbali,
hujui mekumissije na wa kumwambia simuoni.
 
snowhite dada yako siku zote ni Cutie with capital C 🙂🙂 wewe mwenyewe unajua na hilo Mkuu ni heshima kubwa niliyokuwa nayo kwake 🙂 🙂 na weye huachi kuuliza maswali magumu banaaa!? LoL!! 🙂🙂
solola bien bana!
hiv huu wimbo ni wa nani vilee we Kongosho katika zile ndombolo ya solo ulizozikumbushie siku ile huu hakuna mtu aliusema ni wa nani?
 
Last edited by a moderator:
khali yangu dhofhali,sinayo jambo kwa kweli,
sijui u wapi mahali,sinaye wa kuuliza mie mwali,
umerudi nashukuru,hunachi nikaita mbali,
hujui mekumissije na wa kumwambia simuoni.
Usijali mimi nipo, hata kama si kimwili basi kiroho nipo,
Nashukuru japo wapumua, inanifariji huku mbali nilipo,
Popote pale unimisipo, jua nipo hapo we ulipo
 
solola bien bana!
hiv huu wimbo ni wa nani vilee we Kongosho katika zile ndombolo ya solo ulizozikumbushie siku ile huu hakuna mtu aliusema ni wa nani?
Partner, solola bien imeimbwa na watu wanaitwa Wenge Mason Mere kama sijakosea........ kingkongndio mtaalam wa haya
 
Last edited by a moderator:
Usijali mimi nipo, hata kama si kimwili basi kiroho nipo,
Nashukuru japo wapumua, inanifariji huku mbali nilipo,
Popote pale unimisipo, jua nipo hapo we ulipo

dah!
speechless!
 
ahahhahah sasa we jumlisha mwenyewe bubu na kigugumizi!
si ujue bak leo kakamatwa!
Kuna ki video kimoja kuna mtu aliniwhatsapp huwa kinanichekesha sana

Jamaa aliona binti anapita, akampigia ile Xiiiiiiiiiiiii!

Binti akaja akamuuliza unaniita mimi? huku kamsimamia mbele hivi, Haya sema ulichoniitia sio mnaona watu wanapita tu njiani mnawapigia xiiii. Jamaa akanywea akataka kukimbia, binti akamwambia rudi hapa................ sasa ndio hii ya BAK hapa
 
Last edited by a moderator:
Kongosho naye enzi hizo alikuwa my favourite movie, lakini naye alipopata kale ka jamaa ka kizungu kwisha habari yake kawa kama Sister Teresita
 
Last edited by a moderator:
Kuna ki video kimoja kuna mtu aliniwhatsapp huwa kinanichekesha sana

Jamaa aliona binti anapita, akampigia ile Xiiiiiiiiiiiii!

Binti akaja akamuuliza unaniita mimi? huku kamsimamia mbele hivi, Haya sema ulichoniitia sio mnaona watu wanapita tu njiani mnawapigia xiiii. Jamaa akanywea akataka kukimbia, binti akamwambia rudi hapa................ sasa ndio hii ya BAK hapa
unataka kusema BAK karibu anataka kupiga nduru!:help:
:help: ahaaa bana partner simfanyie hiv hendisamu wa dadangu mkubwa bana!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ngoja mie niwe zumbukuku
'wanifanyia ukwere zumbukuu, ili nione uchungu zumbukukuu'

solola bien bana!
hiv huu wimbo ni wa nani vilee we Kongosho katika zile ndombolo ya solo ulizozikumbushie siku ile huu hakuna mtu aliusema ni wa nani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom