dismynder1
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 328
- 168
aiseee unajua kuchagua
vizuri sana kama mmeshadedicetiana
majisong lol!!
aaah mkwe, mwanao ndio anasababisha yote haya ujue.Mmmh!
Nilishakuambia mkwe utajaniulia mwanangu! Aisee sitakubakisha hata kivuli chako!
wewe utakuwa shangazi yake yuda.Keshaibiwa siku nyiiingi, na mie nilihusika kumsaidia mwizi
BAK naona nyota imekudondekea,bahati haiji mara mbili,maneno yake tu mwenzio yanaonyesha kabisa yamejaa volume ya upendo kiasi gani,yaani hapo fanya hima tu kama hujaoa muwe zaidi ya marafiki
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums