mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Kwa sisi ambao tulikua hatujazaliwa mkuu
Kwani jf ina age limit.2012 hujazaliwa? Unafanya ninu huku Jf??
Kwani jf ina age limit.
Kama mtoto wa miaka 14 ana degree ya software engineering sembuse mimi niliezaliwa 2012 kuwa jf
To the childish worldProve
Sijui alipigwa na kitu kizito?William Mgimwa,baada ya Bajeti hii hatukumuona tena