Atleast ulipwe kaisi gani sana ndo uishi hapo daslamu vizuri??Sema kwa hapo Daslama, hio 400k ni hela ndogo sana. Na kama ndo umesoma na umepata ajira hizi formal kabisa, 400k wont suffice you. Labda kama upo daslama ndani ndani huko, Vikindu, Malamba mawili, Wazo Kisanga and the likes
Hapo amani ya moyo wako iamue ndani mwako.Cha kuelewa ni kwamba 10% ya kiasi ulichopata ni baseline.Unaweza ukatoa hata 11,12,13% si wizi,ila chini ya 10% ni wizi kwa mujibu wa maandiko.10%ya basic au take home? Maana hapo ameonesha ya take home
Haya maisha aisee.Hatari hata tuseme tayari una nyumba mbezi mwisho then kazi ni kule Morocco daily! Utajua hujui!
Ukweli machungu sweetheart... Mshahara wowote chini ya million ni kama unapokea posho...Tema mate chini smart!
Hapo ni noma mkuu hata bajaji mtu unaogopa kupanda! Kwa kweli Dar kodi na nauli zinatesa....Haya maisha aisee.
Take home yangu ya kwanza ilikua 448k.
Naishi mbezi kibanda cha mkaa, napiga kazi mikocheni
Fresh tu kibingwa nikatoboa
Kuhusu sadaka,hakikisha unajicommit kwenye haya makanisa official mfano Kkkt au RC hawana zile sadaka za kujimaliza na ibada zao ni nne kwa mwezi,wao ukiwapa buku mara nne=4k hawana kwere
Ngoja niongee nao kesho hawaMalizia utt Haina tax on profit.
Hii achana nayo mkuu utachelewa sanaHii rule inaitwa 50/30/20 naikubali sana
Mkuu zipo nyingi na kila kitu ni akili kumkichwa. Niambie wewe unahisi formula ipi ya bajeti ni nzuri kwa mazingira yetuHii achana nayo mkuu utachelewa sana
Rule yoyote iliyokuja kwa kingereza itafakari mara mbili
Je imeaccomodate mazingira yetu ya kibongo
Inagine unalipwa 716,000 basic ukikatwa inabaki 512k na bado kwenye mgawanyo wako wa bajeti kuna 30% ya want
Labda kama mshahara wako 5m +
Mbele nani analipwa dola 150 kwa mwezi
Bado wategemezi.Hii achana nayo mkuu utachelewa sana
Rule yoyote iliyokuja kwa kingereza itafakari mara mbili
Je imeaccomodate mazingira yetu ya kibongo
Inagine unalipwa 716,000 basic ukikatwa inabaki 512k na bado kwenye mgawanyo wako wa bajeti kuna 30% ya want
Labda kama mshahara wako 5m +
Mbele nani analipwa dola 150 kwa mwezi
tunaomba mrejesho mkuuNgoja niongee nao kesho hawa
Mkuu ukweli sijaongea nao maana baada ya calculation naona kama hamna faida ya maana, sijafikia bado kiwango cha kuwekeza nikapata faida ya kuelewekatunaomba mrejesho mkuu
Shwaini kwanini? Yaani kwanini shwaini? 🤣Bajeti hiyo ngumu sana kaka
Sijaona sehem iliyotengwa hata buku 5 ya kununua nusu kilo ya shwaini (nguruwe )
Ukiweka bank kuna faida gani?Mkuu ukweli sijaongea nao maana baada ya calculation naona kama hamna faida ya maana, sijafikia bado kiwango cha kuwekeza nikapata faida ya kueleweka