Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,203
- 79,442
heheh yaani uwe na $33 bln halafu 58% iende kulipa madeni unabaki na $13 bln huku $8 bln ikiwa mkopo wa ku-finance budget hiyo! In essence uchumi wao umechangia $5 bln! Hawa majirani wamerukwa akili aisee!Hehe .... Not true.
Numbers PLZ ...