Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,091
- 5,279
Number three ni rahisi kukopesha MTU pesa kama ako na mpango ya venye atatumia hiyo pesa e.g vision 2030, vision 2050 etc.. ambayo no matter the president who takes over lazima atekeleze hiyo vision.Sisi pia hatujasema tunajenga kufika mahali mpo nope,tunajiondoa kwenye hali duni iyo ndio point...tunahitaji region nzima ya - east africa iwe developed
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Tanzania bado Hamna vision kwa hiyo hamkopesheki. Kila rais akiingia anaingia na miradi yake tofauti. Miradi kama bagamoyo mliua na ndio ulikua iinue Tanzania kiuchumi 100%.
Now Bagamoyo is a wasteland with nothing going on.