Bajeti ya harusi ya gharama ndogo

Bajeti ya harusi ya gharama ndogo

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,696
Habari za leo wana JF.

Mdogo wangu anatarajia kufunga ndoa mwaka huu mwezi wa sita mwishoni.

Mimi ndio kaka yake na mimi ndio msimamizi wake.

Ninataka nimsaidie aweze kufanya harusi kwa gharama ndogo kwa kadri iwezekanavyo.

Idadi ya watu watakao alikwa ni hamsini.

Ninataka gharama ya harusi iwe shilingi Milioni Tano.

Kwa walio na uzoefu na suala hili, mnadhani kwa bajeti hiyo hapo na kwa idadi hiyo ya watu, inaweza kufanyika sherehe ya harusi ambayo itapendeza?

Na je inaweza kutumika chini ya gharama hiyo hapo juu?

Ninaomba maoni na ushauri wenu please.
 
Have them elope to some national park somewhere for a couple days.

It probably won't cost you anywhere near that 5 mill.
 
Mkuu, hiyo hela inatosha kufanya harusi kubwa sana ya watu 120 hadi 150. Kuna harusi ilifanyika 22.02.2014 jamaa walitumia 9.2million harusi ya watu around 300 ilikua bomba balaa. tulikunywa na kula nyama mwanzo mwisho na kamati yao ikatoa zawadi fedha taslim 1.270m kama zawadi. Mimi mwenyewe nilikua impressed sana maana nategemea kufunga ndoa mwaka huu na niliambiwa ukionanan na wenye ukumbi wanaweza kukupangia kila kitu. Ukumbi wenyewe Princess hall Sinza.
 
Asante sana kaka, nita kupm tuongee zaidi
 
Habari za leo wana JF. Mdogo wangu anatarajia kufunga ndoa mwaka huu mwezi wa sita mwishoni. Mimi ndio kaka yake na mimi ndio msimamizi wake. Ninataka nimsaidie aweze kufanya harusi kwa gharama ndogo kwa kadri iwezekanavyo. Idadi ya watu watakao alikwa ni hamsini. Ninataka gharama ya harusi iwe shilingi Milioni Tano. Kwa walio na uzoefu na suala hili, mnadhani kwa bajeti hiyo hapo na kwa idadi hiyo ya watu, inaweza kufanyika sherehe ya harusi ambayo itapendeza? Na je inaweza kutumika chini ya gharama hiyo hapo juu?

Ninaomba maoni na ushauri wenu please.

Katika harusi yangu nilifanya hivi, nilifanya 201O ilikua hivi

1.Budget haikuzidi milioni 4, nyingi zilienda kwenye chakula
2.Sikutoa kadi hata moja ya mchango
2. niliamua iwe casual, kwa hiyo sikuhangaika kutauta profesional MCs, badala ya kuchangisha afu kumlipa MC, tulitengeneza ratiba kisha marafiki zangu wachache, wakasaidia kusema chochote kwa kupokezana.
3. Badala ya kuchanga pesa kukodi magari, tulitumia magari ya friends, niliomba rafiki zangu wengine wachukue maids, mwingine bibi harusi, mwingine mama mkwe..kwa gari zetu hizi hizi za kawaida.
 
Asante sana kwa mchango wako kaka.
 
Mkuu, hiyo hela inatosha kufanya harusi kubwa sana ya watu 120 hadi 150. Kuna harusi ilifanyika 22.02.2014 jamaa walitumia 9.2million harusi ya watu around 300 ilikua bomba balaa. tulikunywa na kula nyama mwanzo mwisho na kamati yao ikatoa zawadi fedha taslim 1.270m kama zawadi. Mimi mwenyewe nilikua impressed sana maana nategemea kufunga ndoa mwaka huu na niliambiwa ukionanan na wenye ukumbi wanaweza kukupangia kila kitu. Ukumbi wenyewe Princess hall Sinza.
Ukumbi mzuri kweli ule. Hivi unakost sh ngapi na mapambo na kila kitu?
 
Mkuu milioni tano kwa harusi ya kualika watu 50 inatosha sana na hela ingine inabaki!

asante sana kaka, unaweza kunisaidia kuweka mchanganuo? hope na watu wengine watafaidika pia
 
Katika harusi yangu nilifanya hivi, nilifanya 201O ilikua hivi

1.Budget haikuzidi milioni 4, nyingi zilienda kwenye chakula
2.Sikutoa kadi hata moja ya mchango
2. niliamua iwe casual, kwa hiyo sikuhangaika kutauta profesional MCs, badala ya kuchangisha afu kumlipa MC, tulitengeneza ratiba kisha marafiki zangu wachache, wakasaidia kusema chochote kwa kupokezana.
3. Badala ya kuchanga pesa kukodi magari, tulitumia magari ya friends, niliomba rafiki zangu wengine wachukue maids, mwingine bibi harusi, mwingine mama mkwe..kwa gari zetu hizi hizi za kawaida.

Wewe ni Muongo!

Back
Top Bottom