Bajeti sasa yamtegemea Lady Jay Dee

Sera za CCM kutimiza malengo haraka? sijui!
hospitali ilianza kujengwa 1985 kwa hiyo JD akifanya fund raising jengo linaweza kwisha 2015
baada ya hapo bajeti ya 2015/16 serikali itamwita tena Kingwendu kufanya fund raising ya vifaa na vitanda
ni mipango mizuri ya sera za CCM.

Usiumize kichwa mkuu huyo anajulikana ni king'ang'anizi balaa
 
hawa mawaziri wangekuwa kila siku wanapigwa aswali ya papo kwa papo ingekuwa balaaa....maana hata lukuvi jana alipaka rangi upepo kwakusema eti tsh. million 2 ni kwa ajili ya kukarabati madaraja na barabara zilizoko nyumbani kwa waziri mkuu........upuuzi wa mwaka
 
Kama ni Mil.2 Lukuvi asiumize kichwa anitafute nitafadhili hiyo project kwa 100%.
 
yaani kuwasikiliza hao mawaziri ni kujitafutia hasira tu
unaweza ukashindwa kula bure...

me ukinikuta naangalia bunge maranyingi ni ilitu niwe current sio et ii nipate faraja
kutokana na mipango mizuri ya serikali kumkomboa mmbogo wa kawaida.
hua naishia kukasirikatu.
 
Mmh nina wasiwasi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo,watt km nyie hata mkipewa assignment ndogo tu mnashiwa ni sawa na shabiki wa mpira anavyomkosoa mchezaj akiwa uwanjan angal yy hajaw cheza hata mechi ya utoton

Inawezekama uko sahihi, maana hata post yako nimeshindwa kuilewa kama ulikua unachangia kuhusu nini
 
Dr Haji ana masihara sijapata ona kweli Hospitali ya rufaa imeshajengwa theatre bila mawodi hao wagonjwa wakishapasuliwa watahudumiwa wapi au kabla ya kupasuliwa utayarishwaji wao utafanyika wapi
Waziry wa Tamisemi (naibu) Aggrey alisema hospiayali ya wilaya ikijengwa na kukamilika si chini ya bilioni 9 sasa itakuwa hospitali ya rufaa inapangiwa shilingi milioni miamoja kweli
Waziri wa afya aache kucheza kiduku kutegemea lady JD na wacheza rap kutoka marekani ndio wajenge hospitali kubwa kama hiyo angesema darasa hapo tungeelewa
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho, fund raising itafanywa na nyie bakini na pumba tu hapa.
 
Sera za CCM kutimiza malengo haraka? sijui!
hospitali ilianza kujengwa 1985 kwa hiyo JD akifanya fund raising jengo linaweza kwisha 2015
baada ya hapo bajeti ya 2015/16 serikali itamwita tena Kingwendu kufanya fund raising ya vifaa na vitanda
ni mipango mizuri ya sera za CCM.

Ujenzi ulianza kabla jd hajazaliwa, na sasa ndo anategemewa aukamilishe....Naona kama watanzania tumerogwa kuongozwa na mazuzu wa aina hii!!
 
Back
Top Bottom