Bajeti sasa yamtegemea Lady Jay Dee

dazu

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
365
76
Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.

Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahahaaaaaaaaaa..........hapa ndipo napoifurahia weekend,hilo nalo ni sehemu ya mkakat wa miaka 5
 
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
 
Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.

Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mtakoma sana. na bado.

Waziri anaongea kama 'kaoteshwa'. Nchi inaishi kwa vision za kusadikika.
 
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga

wanamuziki wa marekani wana Lebo wewe acha ujuha. Jaydee ana Label gani ya kumfanya achangishe mpunga wa kujenga hospitali?

hivi ukisikia Jay Z ni Balozi wa UN unadhani ni sawa na Machozi Band?
 
Hapa Waziri alichemsha, ... eti watmwomba Miss Tz na Lady Jaydee wasaidie kuchangisha! Na mbunge akaridhika? ubabaishaji wa hali ya juu!
 
Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa akili hizi za watu wa ccm ni ngumu kufika kule tunataka tufike(maendeleo)ni kuwaondoa madarakani tu,uwezo wa kuiondoa ccm madarakani tunao,sababu za kuindoa ccm madarakani tunazo,nia ya kuindoa ccm madarakani tunayo,shime watanzania wenzangu 2015 kazi ni moja tu. Go to hell ccm
 
dazu unashangaa hilo hata wizara ya elimu inasubiri chenji ya rada ili inunue vitabu na kutengeneza madawati.
 
wanamuziki wa marekani wana Lebo wewe acha ujuha. Jaydee ana Label gani ya kumfanya achangishe mpunga wa kujenga hospitali? hivi ukisikia Jay Z ni Balozi wa UN unadhani ni sawa na Machozi Band?
Poor minded! Usiwe kama juha! Thamini cha nyumbani!
 
ndiyo maana nasema nimeanza kukata tamaa na nchi hii kuelekea mabadiliko! ...angalia huoni hata aibu kuwaita watu wajinga!?
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
 
Hapa Waziri alichemsha, ... eti watmwomba Miss Tz na Lady Jaydee wasaidie kuchangisha! Na mbunge akaridhika? ubabaishaji wa hali ya juu!
JD akigoma je watamwomba Bambo awasaidie kweli ukistaajabu ya Musa njoo bungeni.
 
sometimes naonaga bungeni woote hamna kitu kichani! WAOOTE WALIKUBALI EEEH!!
 
Back
Top Bottom