Aiseeeee !!!!Kuna watu uko mikoani wanatupa laini kwa Deni la 2,700 niwezeshe.
Sasa,
Hii ikianza Hali sijui itakuaje
jaribu kutumia akili ulizobarikiwa japo robo nduguAcheni kulalamika ovyo tutafute pesa tulipe kodi nchi ipate maendeleo wenzetu wana kodi mpaka 45% lakini wanalipa sisi Tsh 100 tena inaweza iwe Tsh20 watu mnashinda mnaliaaaaaa bas tumieni tu barua
Acheni kulalamika ovyo tutafute pesa tulipe kodi nchi ipate maendeleo wenzetu wana kodi mpaka 45% lakini wanalipa sisi Tsh 100 tena inaweza iwe Tsh20 watu mnashinda mnaliaaaaaa bas tumieni tu barua
Acheni kulalamika ovyo tutafute pesa tulipe kodi nchi ipate maendeleo wenzetu wana kodi mpaka 45% lakini wanalipa sisi Tsh 100 tena inaweza iwe Tsh20 watu mnashinda mnaliaaaaaa bas tumieni tu barua
Hiyo vocha bei itakuwa na value added tax,Acheni kulalamika ovyo tutafute pesa tulipe kodi nchi ipate maendeleo wenzetu wana kodi mpaka 45% lakini wanalipa sisi Tsh 100 tena inaweza iwe Tsh20 watu mnashinda mnaliaaaaaa bas tumieni tu barua
Wala kodi wanalipa hiyo percentage lakini sii u aona walivyo fanya nchini mwao...hela inatumika ipasavyo. Elimu bure mpaka chuo kikuu. Health care ya ukweli, barabara za ukweli.Acheni kulalamika ovyo tutafute pesa tulipe kodi nchi ipate maendeleo wenzetu wana kodi mpaka 45% lakini wanalipa sisi Tsh 100 tena inaweza iwe Tsh20 watu mnashinda mnaliaaaaaa bas tumieni tu barua
kulingana na urahisishaji wa maisha unaofanywa na hizi simu TZS100 ITS NOT A BIG DEAL WATU WATALIPA MSIANZE KUWATISHA. TUMETOKA MBALI SANA NA HIZI SIMU. NCHI ZINGINE WANALIPISHA ZAIDI YA PALE. AAH WATU WATALIPA KAMA WANAWEZA KUSUBSCRIBE KWENYE HUDUMA ZA MIZIKI,SOKA NA NYINGINE NYINGI WATAWEZA KULIPA HIYO TZS100/DY USITIE SHAKA MTZjaribu kutumia akili ulizobarikiwa japo robo ndugu
Kwasababu unakauwezo ka kubadilisha mboga ndio unaona maisha umepatia hujali kabisa yule mpiga debe anayepata sh Mia kwa kila daladala
Kwa dalaladala kumi buku hapo
Ana familia inamwangalia
Acha jeuri mzee baba ipo siku utaikosa hio Mia ya kulipia na upo kwenye shida ndio utakumbuka huu upupu hapo!
Povuuuuuuuu😤😤😤
Usipoitumia laini kwa wiki 3 ni bora ukasajiri nyingine tu.
Ndiyo maana yake mkuuMimi nina laini 3 zote ziko hewan ina maana kwa mwezi kabla sijafanya chochote nitakuwa nadaiwa 9000/= kwa maana ya 100*30*3
Itakuwa hatari mkuu.Kuna watu uko mikoani wanatupa laini kwa Deni la 2,700 niwezeshe.
Sasa,
Hii ikianza Hali sijui itakuaje