Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,062
- 168,725
Bado inaendelea kuandaliwaMbona sioni breki hapo?
Mbona sioni breki hapo?
Mbona sioni breki hapo?
Kama ni hivyo muendeshaji lazima avae katambuga za kimasai kwanza.Break mguu kaka. Ila itakuwa nzito hii baiskeli aisee
na kombatiKama ni hivyo muendeshaji lazima avae katambuga za kimasai kwanza.
Mtu atakayeendesha hii baiskeli atachoka sana kwa sababu nionavyo, vipimo vyake havikuzingatia umbo la mtu mzima ie urefu wa miguu yake, umbali toka kwenye kiti anachokalia mpaka kwenye steering. Yaani kwa kifupi science ya mwili wa binadamu na MA (Mechanical Advantage) havijazingatiwa! And above all this is a classic example of re-inventing the wheel!
Kipingamizi utakachokikutacho ndicho kitakuwa breki yako.Mbona sioni breki hapo?
baiskeli yenyewe itakuwa nzito sana, labda iwe ni special kwa ajili ya mazoezi ya kukomaza mwiliMtu atakayeendesha hii baiskeli atachoka sana kwa sababu nionavyo, vipimo vyake havikuzingatia umbo la mtu mzima ie urefu wa miguu yake, umbali toka kwenye kiti anachokalia mpaka kwenye steering. Yaani kwa kifupi science ya mwili wa binadamu na MA (Mechanical Advantage) havijazingatiwa! And above all this is a classic example of re-inventing the wheel!