Hamjambo wanachitchat? Mimi mzima wa afya ila naingia hapa kwa huzuni kubwa.
Wapendwa, mtakumbuka kwamba nilikuja hapa chitchat tarehe 9/5/2013 kueleza nia yangu na sababu ya kubadili avatar KWENYE HII THREAD Wapo walionielewa wakaivumilia hii avatar ila wengine hapa JF walilalamika sana kwamba avatar hii ni ya 'ovyo'. Jana tarehe 26/5/2013 katika jukwaa la Jamii Photos mdau mmoja akaitolea avatar uvivu kwa kusema:
'Mwana JF Hygeia, kwa upande wangu naiona hiyo avatar yako haipendezi, inatisha, inakera, ni mbaya!!! Nakushauri uibadilishe, ukipenda sawa, usipopenda sawa,huu wangu ni ushauri tu siyo amri' Aliyesema haya maneno ni Mama Mdogo. Wengine walihusisha hii avatar na albinism na uchunaji ngozi! Too bad!
Hayo mawazo yamenifanya niachane na hii avatar kuanzia leo mchana.
Nitarudia ile avatar ya zamani ingawa imenichosha sana
hygeia
In Greek and Roman mythology, Hygieia (also Hygiea or Hygeia, Greek Ὑγιεία or Ὑγεία, Latin Hygēa or Hygīa), was the daughter of the god of medicine, Asclepius, and Epione. She was the goddess/personification of health (Greek: ὑγίεια - hugieia[1]), cleanliness and sanitation. In this respect, i would suggest that you adapt one of the following diagrams/illu7strations/pictures as your avatar:
Mh.... Kiukweli hata mie niilichukia sana ile avatar. nikiona thread yako wala hata siifungua kwa sababu ya lile liavatar. sasa nitakuwa nafungua thread zako. asante
Mh.... Kiukweli hata mie niilichukia sana ile avatar. nikiona thread yako wala hata siifungua kwa sababu ya lile liavatar. sasa nitakuwa nafungua thread zako. asante