BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

Weka picha ya hao Bahima tuwaone kabisa ili tuwajue ili wakikatisha tu tunao!

Wakikaa nchale, wakichuchumaa nchale, wakikimbia nchale wakisimama nchale hadi mauti iwafike.
njomba nchumali
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Ukitumia staili hiyo ya kuwatambua watu, ujue kuwa hata wewe penginepo umetokea Kwazulu Natal walikotoka Wangoni wote. Akina Ndlovu ama Tembo na wengineo. Hakuna Bahima itakayorudi tena. ISIS walijaribu kurudisha u-Khalifa hawakufanikiwa. Ubabe wa kimaeneo umepitwa na wakati.
 
Swala la hao mapandikizi wapo kila mahali, hukusikia Jeshini kuna Mnyarwanda alikimbia alikuwa kitengo cha IT
Huyu sijui aliishia wapi

La pili wakati wa mvutano wa Jakaya na Kagame, Kagame aliuambia Ulimwengu kwamba "atamtandika Jk na asijue amepigwa na nini "
Kauli hii ilitosha kabisa sisi kama nchi tuchukue tahadhari na pia sio tahadhari tu hatua madhubuti kabisa
Kauli hiyo maana yake ni kwamba Kagame ana uwezo wa ku penetrate security barriers na kuingia Ikulu yetu kumfanya chochote rais wetu
Maana yake ni moja tu ana watu wake kwenye system yetu na tupo uchi kwake
Sijui wahusika walichukua hatua gani maana mambo haya hayawekwi kwenye public domain ni classified
Pamoja na ombwe la uongozi tulio nao bado naamini Tanzania yetu ina watu makini ambao hawata ruhusu hayo ya Bahima empire kunawiri ila nina mashaka makubwa sana kwa sababu wazalendo wa nchi hii tunaaminishwa ndio wasaliti na wakiongea wazee wana washwashwa sijui tunaelekea wapi

Mungu ibariki Tanzania
Kutandikwa sio lazima kijeshi wewe hii huenda ilikua na maana ingine kabisa. Think twice
 
.
IMG_20180423_125346_025.jpg
 
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
 
Wale mercenaries walioletwa zanzibar ambao huko wanapoishi watu wamewasikia wakiongea kifaransa wameletwa na nani?
 
Wale mercenaries walioletwa zanzibar ambao huko wanapoishi watu wamewasikia wakiongea kifaransa wameletwa na nani?
Wameletea na mercenary mkuu mwenyewe mwenye asili ya huko [emoji23] ila hii nchi bana inasikitisha sana!
 
A bit of history:


Hitler comes to power:
In January 1933, the German president, General Field Marshal Paul von Hindenburg, finally gave way before the growing electoral success of the NSDAP, which became the country’s first political party with more than one third of the votes in 1932. He named the head of the party, Adolf Hitler, chancellor. The latter hurried to dissolve the Reichstag, held new legislative elections, and carried out an aggressive political campaign marked by dubious negotiations, threats, and political pressure, all with the goal of enlarging his parliamentary base into an outright majority.

What followed next is HELL.
 
Hii ni moja ya mada za mtu aliyekosa, anayetafuta sababu kwanini amekosa. Njia rahisi, ni kama ile ya mbaazi, ambayo kama akikosa maua, basi anarahisisha mambo kwa kulisingizia jua.
There are issues that need us to take the ownership. Tusimsingizie jirani. Hizi ni tabia za waganga wa kienyeji. Wao badala ya kumsaidia mgonjwa, wanampa orodha ya wabaya wake wanaokesha kumroga. Hata kama shida ni mgonjwa mwenyewe.
 
Hii ni moja ya mada za mtu aliyekosa, anayetafuta sababu kwanini amekosa. Njia rahisi, ni kama ile ya mbaazi, ambayo kama akikosa maua, basi anarahisisha mambo kwa kulisingizia jua.
There are issues that need us to take the ownership. Tusimsingizie jirani. Hizi ni tabia za waganga wa kienyeji. Wao badala ya kumsaidia mgonjwa, wanampa orodha ya wabaya wake wanaokesha kumroga. Hata kama shida ni mgonjwa mwenyewe.
Mmh
 
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!

Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.

Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!

Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!

Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).

Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!

Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.

Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.

Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?

Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.

Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
Unabii ulishatimia tusubiri yajayo Mkuu...
 
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
Mshana katika ubora wako
 
Kwa taarifa tu, Geita ina watutsi wengi sana wanaoongea kisukuma. Wengine wako bariadi wanajiita wanyantuzu. Hawa watu ni hatari na talented sana.

Nilipoanza kulisikia jina la Biteko, kwanza nilidhani ni ndugu zangu kutoka buha au basi ni wahangaza. Lkn niliposikia wapo Geita, nikajua hawa lazima ni watutsi. Ukiziangalia sura zao, mhhhhh hatari sana.
IMG_20201030_180413.jpg
 
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
emoji144.png
Bado watu wenye akili na uwezo wa kuona mbali mpo nchi hii. Hakika wewe ni mmojawapo. Maneno yako haya hatimaye yametimia, ni kama nabii fulani hivi.
 
Kwa taarifa tu, Geita ina watutsi wengi sana wanaoongea kisukuma. Wengine wako bariadi wanajiita wanyantuzu. Hawa watu ni hatari na talented sana.

Nilipoanza kulisikia jina la Biteko, kwanza nilidhani ni ndugu zangu kutoka buha au basi ni wahangaza. Lkn niliposikia wapo Geita, nikajua hawa lazima ni watutsi. Ukiziangalia sura zao, mhhhhh hatari sana.View attachment 1616083
Hawa ni watusi 100%.

CCM mmeona madhara ya kubakia chama kimoja?? Sasa badala ya kujadili vyama tunajadili watu na makabila yao. Mwambieni Magufuli anajikomoa mwenyewe!
 
Back
Top Bottom