Vitendo JF-Expert Member Oct 23, 2009 582 103 Feb 12, 2012 #1 Jamaa mmoja alikuwa bahili sana,akaenda sokoni kununua ndizi maöngezi yalikuwa hivi; Bahili:ndizi shilingi ngapi? Muuzaji:sh.mia! Bahili:mimi nina sh 60! Muuzaji:utapata maganda tu! Bahili:basi nitakupa sh 40 unipe ndizi maganda ubaki nae wewe.
Jamaa mmoja alikuwa bahili sana,akaenda sokoni kununua ndizi maöngezi yalikuwa hivi; Bahili:ndizi shilingi ngapi? Muuzaji:sh.mia! Bahili:mimi nina sh 60! Muuzaji:utapata maganda tu! Bahili:basi nitakupa sh 40 unipe ndizi maganda ubaki nae wewe.