Bahatisha umri wa mwanaJF

Bahatisha umri wa mwanaJF

Wanawake ktk ishu ya umri huwa wanaogopa sana,
Hivi ni kwanini
Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)

Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.

Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.

Wanawake wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.
 
Hatupendi kuzeeka. Kama mimi hapa napanick kweli ninavyoichungulia miaka 30. Sema nimeshaamua ntastick na miaka 27 kwa miaka mitano ijayo. Sura yangu mtu habishi nikimwambia nina miaka 25

Sura yako mimi si ijui, nitumie ni thibitishe ukweli juu ya ulisemalo,

Jambo la msingi ni kujikubali tu, umri ni namba tu
 
Psychologically...wanawake wengi hawapendi kujulikana kuwa ni wakubwa kiumri hata kama huo ndio ukweli, kwasababu wanahisi kwa kujulikana huko wataonekana kuwa si rahisi tena kuolewa, kujaliwa na huenda wanakaribia kile kipindi cha ushindwaji wa kuconceive na kuzaa (Menopause)

Kwasababu hiyo basi imetupasa sisi waume kutowauliza wanawake hawa nyumri zao ili kuwapa amani ndani ya mioyo yao.

Mathalan, mimi huwa simuulizi mwanawake umri wake pale ninapomhitaji hasa nikigundua ana umri mkubwa kunizidi, kwasababu nitaweza kumkosa na sipendi nimkose, kumnyima raha ama kumharibia siku yake.

Wanawale wanafanya mengi kujirudisha utotoni au ujanani kuliko wanaume.
Basi mimi ni wa tofauti maana kujiongezea umri, huwa ni furaha kwangu. Mwanaume akiniuliza umri lazima nitamtajia uliozidi.
 
Back
Top Bottom