Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,388
- 88,763
Asante my dear. Tumeyasawazisha tayariNawaelewa sanaaa...
Nawewe unabidi uwaelewe wanaume sawa ee., juzi nilikiona kilio chako jamani poleee...
Hopefully mmeyasettle down matatizo yenu
Asante my dear. Tumeyasawazisha tayariNawaelewa sanaaa...
Nawewe unabidi uwaelewe wanaume sawa ee., juzi nilikiona kilio chako jamani poleee...
Hopefully mmeyasettle down matatizo yenu
Na mvua hiz za dar muhimu sana kupishana mpendwa ..ahaaa uswahili mtu kutoka seblwn kwenda chumbani anaenda kwa beseniHahahaaaa. Hata mjini wapo bana.![]()
Nipo rafiki nadhani tunapishana tu.
Hebu kuja PM Ba watoto..
Hahaaaa. Umejua kunichekesha ujue. Ila ndio hivyo mwisho wa siku maisha yanasonga mbele.Na mvua hiz za dar muhimu sana kupishana mpendwa ..ahaaa uswahili mtu kutoka seblwn kwenda chumbani anaenda kwa beseni
Naomba nikubahatishe Mkuu. Hahahaaa.Hapana mkuu huyo si mimi.....
Ha ha ha ha nashukuru kuona nimekuongezea siku za kuishi mpendwa na kukuona tena jukwaan kwa mara nyingine,nikutakie siku njema kwakoHahaaaa. Umejua kunichekesha ujue. Ila ndio hivyo mwisho wa siku maisha yanasonga mbele.
Nimefurahi kukuona tena rafiki. Uwe na asubuhi iliyo njema.
Shukrani sana. Be blessed.Ha ha ha ha nashukuru kuona nimekuongezea siku za kuishi mpendwa na kukuona tena jukwaan kwa mara nyingine,nikutakie siku njema kwako

Naomba nikubahatishe Mkuu. Hahahaaa.
Hahahahahahahahaaaaa.![]()
![]()
aah wapi we mwandiko wako unaonyesha tu una miaka 27
Real?Asante my dear. Tumeyasawazisha tayari
Hahahaaaa. Utakuwa hapa 30 - 40![]()
![]()
![]()
Na mvua hiz za dar muhimu sana kupishana mpendwa ..ahaaa uswahili mtu kutoka seblwn kwenda chumbani anaenda kwa beseni

Mwifwa we hujawahi tumia beseni kufika chumbani? Hahaaaaaaa
Nimepatia eeh?Hahahahahahahahaaaaa.
Wapiga ramli wamekuwa wengi siku hizi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi natumia NgalawaMwifwa we hujawahi tumia beseni kufika chumbani? Hahaaaaaaa
Umekosa, ila umejitahidi sana!!Nimepatia eeh?
Basi 35 - 45.Hahahaaaaa......umekosa.....jaribu tena mkuu unaweza ukajishindia zawadi....
![]()