Bahati Nasibu ya "TATU MZUKA" ina walakini...!!!

ukiona hivyo hawajapata faida.
haiwezekani watoe 30m arafu waingize 10m
Hata mi nina mashaka yawezekana hawajapata faida mpaka mshindi asipatikane
Computer inaendeshwa na mwanadamu.wanacho kifanya wana set mashine auto ichugue mshindi labda atakaye kuwa amecheza nakufikusha kiasi cha laki mbili kwa siku,yaani kaluwa shillings laki mbili
 
Wadau,

Kuna Bahati Nasibu mpya imeingia inaitwa TATU MZUKA. Sina uhakika ni kampuni gani hasa inayochezesha hii Bahati Nasibu ila kila nikiiangalia uchezeshaji wake naona kabisa kuna kitu hakiko sawa. Bahati nasibu hii huchezwa kwa Mchezaji kuotea namba zake 3 na kuweka Dau (Stake) kisha Wachezeshaji nao watatoa na wao namba zao 3.

Mshindi hupatika na pale Ikitokea Namba 3 zote za Mchezeshaji zimefanana na Mchezaji ambapo Mchezaji hulipwa X200 ya kiasi alichoweka (Stake). Na ikitokea ni namba 2 ndio zimefanana basi Mchezaji hulipwa x2 ya kiasi alichoweka (Stake). Mchezo hoo hufanyika kila baada ya lisaa/saa moja hivyo kila saa ni draw mpya.

Wasiwasi wangu ni kua Sisi wachezaji tunaanza kwanza kuchagua namba zetu 3 kisha hao wachezeshaji ndio wanakuja kutoa za kwao 3. Ina maana kuna uwezekano mkubwa kabisa wakasubiri tumeshatoa namba zetu 3 kisha wao Wachezeshaji wakakaa chini wakachagua zile namba ambazo hazijatajwa au kuchaguliwa na wengi ndio wakazema ndio namba za bahati.

Wasiwasi wa pili, au unaoungana na huu wa kwanza ni kua hatuwaoni wakichezesha hadharani, bali tunatumiwa tu meseji hivyo hatujui hata hizo namba wanazichagua kwa mtindo gani. Hatujui kama ni mashine ndio inachagua au wanachagua vikaratasi, mipira au wanafanyaje.

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha iyaangalie mapungufu haya, maana isije ikawa tunafanywa chanzo cha mapato cha wengine isivyo halali.
Hivi bado kuna watu wanacheza michezo ya kubahatisha?Yaani mmeshindwa kabisa kuona kwamba ni wizi wa mchana kweupe,dah.
 
Naamini Kubet tu, hayo mengine siko kabisa.
Nikitoka job, naandaa mikeka tu.
Hizo zingine mbwembwe zao tu
 
Huu mchezo wa bahati nasibu mwanzo ulipokuwa unaanzishwa niliuamini sana na kuona wa ukweli na uhalisia tofaut na biko unayotuma pesa tu hujui unachezaje..

Mchezo huu nimecheza mara nyingi sana lkn nimebahatika kushinda kidogo pesa ya double yaan kupatia namba 2 mfano ukiweka jero unapata buku, buku ten unapata twenty n.k ukakasi / wasiwasi wangu unakuja pale namba moja ya bahati nasibu inapojitokeza mfululizo Yani masaa mawili yanayofuata wakati kwa mujibu wao namba zinachakatwa na computer...

Mbali na hapo wameahidi kutoa kitita kinene kila wiki sasa inakuwaje wanatuambia mshindi hajapatikana wakati namba za bahat zilizochezwa ndo zinachakatwa na mashine.?

Na hii imetokea zaid ya mara 2 kwa nn inatokea hivi au ndo tunaliwa...?

3d1a0003721b6af9db91c30bd4376236.jpg
dba63539ac1486065f2fe46e0c7c6d1b.jpg

Kwakweli hapana mm ntakomaa. Nao haiwezekani wasinipe hela yangu....hawa jamaa ni kama Desi hata kwanza hata namba za customer care hawana
 
Wadau,

Kuna Bahati Nasibu mpya imeingia inaitwa TATU MZUKA. Sina uhakika ni kampuni gani hasa inayochezesha hii Bahati Nasibu ila kila nikiiangalia uchezeshaji wake naona kabisa kuna kitu hakiko sawa. Bahati nasibu hii huchezwa kwa Mchezaji kuotea namba zake 3 na kuweka Dau (Stake) kisha Wachezeshaji nao watatoa na wao namba zao 3.

Mshindi hupatika na pale Ikitokea Namba 3 zote za Mchezeshaji zimefanana na Mchezaji ambapo Mchezaji hulipwa X200 ya kiasi alichoweka (Stake). Na ikitokea ni namba 2 ndio zimefanana basi Mchezaji hulipwa x2 ya kiasi alichoweka (Stake). Mchezo hoo hufanyika kila baada ya lisaa/saa moja hivyo kila saa ni draw mpya.

Wasiwasi wangu ni kua Sisi wachezaji tunaanza kwanza kuchagua namba zetu 3 kisha hao wachezeshaji ndio wanakuja kutoa za kwao 3. Ina maana kuna uwezekano mkubwa kabisa wakasubiri tumeshatoa namba zetu 3 kisha wao Wachezeshaji wakakaa chini wakachagua zile namba ambazo hazijatajwa au kuchaguliwa na wengi ndio wakazema ndio namba za bahati.

Wasiwasi wa pili, au unaoungana na huu wa kwanza ni kua hatuwaoni wakichezesha hadharani, bali tunatumiwa tu meseji hivyo hatujui hata hizo namba wanazichagua kwa mtindo gani. Hatujui kama ni mashine ndio inachagua au wanachagua vikaratasi, mipira au wanafanyaje.

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha iyaangalie mapungufu haya, maana isije ikawa tunafanywa chanzo cha mapato cha wengine isivyo halali.
Nimekusoma vizuri sana mkuu! Mwisho leo!
 
Huu mchezo wa bahati nasibu mwanzo ulipokuwa unaanzishwa niliuamini sana na kuona wa ukweli na uhalisia tofaut na biko unayotuma pesa tu hujui unachezaje..

Mchezo huu nimecheza mara nyingi sana lkn nimebahatika kushinda kidogo pesa ya double yaan kupatia namba 2 mfano ukiweka jero unapata buku, buku ten unapata twenty n.k ukakasi / wasiwasi wangu unakuja pale namba moja ya bahati nasibu inapojitokeza mfululizo Yani masaa mawili yanayofuata wakati kwa mujibu wao namba zinachakatwa na computer...

Mbali na hapo wameahidi kutoa kitita kinene kila wiki sasa inakuwaje wanatuambia mshindi hajapatikana wakati namba za bahat zilizochezwa ndo zinachakatwa na mashine.?

Na hii imetokea zaid ya mara 2 kwa nn inatokea hivi au ndo tunaliwa...?

3d1a0003721b6af9db91c30bd4376236.jpg

mshindi hajapatikana!? huu ni wizi..
 
Hii michezo ni hatari sana ktk uchumi wa mtu kama huna bahati kaa nayo mbali
 
nilichoona mimi,kweli tunacheze kwa kuchagua namba 3,lakini kwa mpangilio wowote unaweza kushinda namba 2,lakini ili ushinde namba 3 ni lazima zifanane namba 3 kwa mfuatano waliouweka wao,haiingiiakilini,mfano nimechagua namba 123 na namba za uushindi zikiwa312 hapa watakuambie umeshinda namba 2 na sio 3 kila saa.tabu nyingine kila ikicheza unapewa tiketi kwa kila 500 utakayocheza,cha ajabu badala ya kuchezesha hizi tiketi mwishi wa wiki na mshindi apatikane kwantiketi iliyoshinda wanaanzisha mchezo upya,hapa ndio kuna shida,otherwise ni mchezo mzuri tu.
 
Back
Top Bottom