Wachina wenyewe wanahangaika kukimbilia Marekani kukwepa utawala wa kidikteta.Baki nyumbani kumenoga, nasema uongo ndugu zangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachina wenyewe wanahangaika kukimbilia Marekani kukwepa utawala wa kidikteta.Baki nyumbani kumenoga, nasema uongo ndugu zangu?
Gharama ni Tshs ngapi?mimi nimecheza na wamenitumia confirmation letter ya kuangalia matokeo 2021 result
bureGharama ni Tshs ngapi?
Inawezekana!!! Nangana na DHAMIRA za wale wanaokimbia na kupotelea huko.....Mkuu,kwani haiwezekani mtu akatoka kwenda kutafuta mtaji kisha akarudi kuijenga nchi yake? Mbona hata hayo mataifa tajiri watu wake huenda nchi zingine kutafuta riziki? tuache kukariri maisha.
Asante kwa taarifa ndugu yangu!!I wish ungefahamu umuhimu wa Diaspora in African Economy!
Trust me, moja ya mambo yanayokwamisha sana taifa letu ni kuwa na diaspora wachache kwenye nchi zinazoeleweka!! Chukulia Nigerian Diaspora kwa mfano!!
2019 Remittances from Nigerian Diaspora zilikuwa USD 23.8 Billion! Hiyo ni karibu TZS Trillion 55... yaani inakaribia mara 2 ya bajeti yetu!
Anyway, Nigeria wamejiripua sana kwahiyo sio league yetu na ndio maana hivi sasa wamezuiwa kushiriki hiyo lottery!
Lakini hata ukienda kwa majirani zetu; Kenya mwaka jana imeingiza USD 2.8 Billion... zaidi ya Sh Trillion 6 za Tanzania!! Zote hizo zimeingia kwenye mzunguko wa uchumi wa Kenya!!
Hata ukichukua Top 10 Companies in Tanzania collectively kwa mwaka hawaingizi pesa ndefu kama hiyo as a profit!! South Sudan tu hapo wameingiza karibu TZS Trillion 5 za Kibongo!!!
Na hizo ni documented remittances recorded by the World Bank... yaani hazihusishi zile dola elfu mbili mbili, elefu tano tano ambazo watu wanaingia nazo in cash!!
Lazima.Ningependa kujua unapokuwa unajaza zile form za dv lottary lazima uwe na valid passport?
Kuomba ni 100% FREE...Ongera sana mkuu hiyo ni bahati ya mtende.Gharama ya kutuma/kuomba US GREEN CARD ni Tz sh ngapi mkuu?
Nchi inayozalisha magaidi haiwezi kufunguliwa kirahis rahisi.Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.
Naomba kujua.
Chifu,Asante kwa taarifa ndugu yangu!!
Wanaozamia mataifa mengine lakini kwa namna moja au nyingine wanazikumbuka nchi zao kwenye nyanja mbali mbali mimi sina tatizo......tatizo lipo pale mtu anaposahau moja kwa moja na kuanza kuiongelea vibaya nchi yake....