Bahati nasibu ya kuhamia Marekani, Tanzania tulishafunguliwa na Marekani?

Usipoteze muda wako kuomba...hiyo ban kutoka Sio kirahisi rahisi... Vikwazo vikiwekwa lazima nchi ijirekebishe.. Huku ndio kwanza tunazidi kurikoroga zaidi vikwazo Vingine vitaongezeka.... Ni jambo Baya Kama taifa Yaani Tumefika kuwekwa kundi moja na Syria na Somalia ktk kuomba US green card.
 

Attachments

  • 20201130_131306.jpg
    20201130_131306.jpg
    69.6 KB · Views: 1
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.

Naomba kujua.
MATAGA na nduguze walishasea USA ni mabeberu, huku kwetu ni kuzuri kuliko kwao, DAr ni kama New York, sasa unaulizia kwenda MAREKANI badala ya kumuuliza pro-pesa KALA-MAGANDA KA-BUGI kuhusu kuanzisha bahati nsabu ambapo WAMAREKANI watacheza na kuja kuishi hii nchi yetu yenye maziwa na asali, demokrasia, utawala bora, ulinzi na amani?
 
Tulifungiwa na serikali ya Marekani kutocheza Bahati nasibu ya kuhamia Marekani. Napenda kujua je tulishafunguliwa ili tuendelee kucheza bahati nasibu hiyo. Nakumbuka na Makonda alizuiwa kukanyaga U.S.

Naomba kujua.
Mbona unauliza wakati imeshapita?!

Anyway, haikuwa implemented na kwahiyo ungeweza kushiriki kama kawaida endapo muda isingekuwa umepita!!
 
TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE SIO KWA KUKIMBIA BALI KWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA LETU.....
I wish ungefahamu umuhimu wa Diaspora in African Economy!

Trust me, moja ya mambo yanayokwamisha sana taifa letu ni kuwa na diaspora wachache kwenye nchi zinazoeleweka!! Chukulia Nigerian Diaspora kwa mfano!!

2019 Remittances from Nigerian Diaspora zilikuwa USD 23.8 Billion! Hiyo ni karibu TZS Trillion 55... yaani inakaribia mara 2 ya bajeti yetu!

Anyway, Nigeria wamejiripua sana kwahiyo sio league yetu na ndio maana hivi sasa wamezuiwa kushiriki hiyo lottery!

Lakini hata ukienda kwa majirani zetu; Kenya mwaka jana imeingiza USD 2.8 Billion... zaidi ya Sh Trillion 6 za Tanzania!! Zote hizo zimeingia kwenye mzunguko wa uchumi wa Kenya!!

Hata ukichukua Top 10 Companies in Tanzania collectively kwa mwaka hawaingizi pesa ndefu kama hiyo as a profit!! South Sudan tu hapo wameingiza karibu TZS Trillion 5 za Kibongo!!!

Na hizo ni documented remittances recorded by the World Bank... yaani hazihusishi zile dola elfu mbili mbili, elefu tano tano ambazo watu wanaingia nazo in cash!!
 
TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYEWE SIO KWA KUKIMBIA BALI KWA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOLIKABILI TAIFA LETU.....
Mkuu,kwani haiwezekani mtu akatoka kwenda kutafuta mtaji kisha akarudi kuijenga nchi yake? Mbona hata hayo mataifa tajiri watu wake huenda nchi zingine kutafuta riziki? tuache kukariri maisha.
 
Back
Top Bottom