Bagamoyo Road kunani?

Bagamoyo Road kunani?

Kuna gari ndogo imegongana na mlori mkubwaa...sasa nadhan walikuwa wanasubiri trafiki aje..ila mwenye makosa ni mwenye gari ndogo coz alitaka kuhamia upande mwngne bila kukadiria kuwa lori lipo karibu...nadhan imeisha folen..
 
Back
Top Bottom