Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,113
- 29,750
Si kawaida, magari yamesimama hapa Lugalo karibia dk 15?
KUNANI?
KUNANI?
Kuna katoto ka dada yangu kana miaka mi3 kanaandika kama hivyo,Lbd kuna gari limearibikia upande wa kwenda mjini am wakurudi tegta
Bradha, Kuna siku hapo nilikaa dakika hamsini, ndipo tukaka taa za MwengeSi kawaida, magari yamesimama hapa Lugalo karibia dk 15?
KUNANI?
Binamu tuvumilie kidogooo maana mipango iko vizuriBradha, Kuna siku hapo nilikaa dakika hamsini, ndipo tukaka taa za Mwenge
Binamu tuvumilie kidogooo maana mipango iko vizuri
Maji mtapata na flyover piaMa vieite? Hatutaki mavieite tunataka maji safi na salama
Ha ha.. wapi huko 2 hrs?Dk 15 unalialia watu tushasimama two hours. Acha uchawi wako
Mmeshindwa kusambaza maji ya bimba DAR miaka 60 ya uhuruMaji mtapata na flyover pia
Haya maneno yako ya uchochezi binamu😃😃 na wakikusikia watu wa mbezi na kimara mtagombana sanaMmeshindwa kusambaza maji ya bimba DAR miaka 60 ya uhuru
Waite na wa Gongo la Mboto, Kiwalani, Pugu etcHaya maneno yako ya uchochezi binamu😃😃 na wakikusikia watu wa mbezi na kimara mtagombana sana
UMEAMBIWA WATU TUNASIMAMA 2HRS! NOW MOVIN..😁Now moving........
Binamu tuvumilie kidogooo maana mipango iko vizuri