BAE Systems pleads guilty!

BAE Systems pleads guilty!

Hukumu imekushatolewa na BAE kuamuriwa Kulipa jumla ya sh bilioni 60,TANZANIA inatarajiwa kupewa zaidi ya bilioni 59.
Source:TBC 1
nawasilisha

katika hili hakuna habari nzuri kwa mtanzania wa kawaida.hiyo pesa italambwa na kupotea bila hata kujua ilipoenda.tena itatumika tu kuzidi kukandamiza haki za raia na kina jk kwenda zaidi kutalii
 
Your welcome, mi nashangazwa na hizi charges na kiasi cha fines ukilinganisha na kiwango cha corruption kilichofanyika AIBU. Kweli hawa wanalindana na hawa viongozi wetu nao sijui watatuambia nini sasa
Believe me no one is going to be prosecuted here since Hosea alim-clear Chenge so expect less on that case here.
 
BAE wameamuriwa kulipa faini kwa kosa la kutotunza kumbukumbu. nina wasiwasi kama ushahidi utapatikana wa kutosha ili kumtia chenge hatiani. These people are playing with our mind. u'll see.
 
Hivi whereabouts za Shailesh Vithlani bado hazijulikani?
 
BAE Systems faces a fine for failing to keep proper records of payments to an adviser on a Tanzania radar deal.

The firm pleaded guilty to one count under the Companies Act of breaching its duty to keep accounting records.

A Southwark Crown Court judge suggested the "obvious inference" was that part of the secret £7.7m payment was used as a "bribe" to win the £28m contract.

But while BAE admitted it paid Sailesh Vithlani the prosecution did not allege corruption took place.

And BAE, which has already agreed a deal with the Serious Fraud Office, under which it offered to make an ex-gratia payment of up to £30m to Tanzania in east Africa, denies any such behaviour.

Prosecutor Victor Temple QC for the Serious Fraud Office said it was not part of his case that any part of the payments to Mr Vithlani was improperly used.

"To lobby is one thing, to corrupt another," he said. "The SFO's investigation ended with the plea agreement and the SFO has decided not to charge the company with any such offences," he said.

"Further, the SFO readily acknowledges that the company has gone to very considerable lengths to ensure that the conduct giving rise to the offence is never again repeated and has instituted appropriate standards of compliance."

BAE conceded that most of the money paid to Mr Vithlani was funnelled through a secretive company it set up in the British Virgin Islands.

It has also acknowledged that it did not keep proper accounts of the transactions, which it disguised as "payments for technical services".

However, the judge hearing the case, Mr Justice Bean said the "obvious inference" was that "part of the money was used to bribe decision makers" in Tanzania.

The judge said the arrangements meant the company "would have no fingerprints on the money".

He added: "They didn't want to know how much was paid and to whom."

He described BAE's behaviour as "hear no evil, speak no evil".

Sentencing will take place on Tuesday.

source bbc.co.uk
 
Mi nataka ku-appeal against this ruling. Naruhisiwa? Na nianzie wapi?
Wanasheria vipi jamani?? This is not about UK, it's about TZ....... for Heaven's sake!!
Lazima iwezekane bana!!!
 
Hiyo deal waliyoingia BAE na SFO(Serious Fraud Office) ni ipi kwamba watapigwa faini tu halafu kesi ndio inaisha basi if that's the case kuna watuhumiwa kwenye hii kesi watakuwa wanachekelea
 
BAE Systems has been fined £500,000 for failing to keep proper records of payments it made to an adviser in Tanzania.
The defence group paid £7.7m to two firms controlled by businessman Shailesh Vithlani ahead of winning a £28m Tanzanian military radar contract.
The ruling by a judge at Southwark Crown Court comes after BAE had already agreed a deal with the Serious Fraud Office (SFO).
BAE also has to pay £225,000 costs.
The judge, Mr Justice Bean, said he was under pressure to keep the court fine to a minimum.
Under the agreement struck between the SFO and BAE, the company would deduct the fine from the £30m it had offered to the people of Tanzania to settle the case.
"The structure of this settlement agreement places moral pressure on the court to keep the fine to a minimum so that the reparation is kept at a maximum," said the judge.
He also criticised another part of the deal which he said gave any member of BAE Systems group "blanket immunity for all offences committed in the past, whether disclosed or not".
He said the agreement was loosely and hastily drafted.
 
if there is no records how can change and frnds be charged no way hapa mchezo mchafu umepita wazee
 
Your welcome, mi nashangazwa na hizi charges na kiasi cha fines ukilinganisha na kiwango cha corruption kilichofanyika AIBU. Kweli hawa wanalindana na hawa viongozi wetu nao sijui watatuambia nini sasa
washangae zaidi wasukuma wa bariadi waliotandika zulia jekundu kwa chenge..............

aliua wawili waliokua kwenye bajaji.............. akaua mamilioni kwa kuwanyima haki na pesa za rada, kisha akagombea uspika

mwambieni nikimkuta tena pale mwanza hotel anatumia ile glasi yake ntamwagia pombe machoni na mie nakunywa black label

i mean it
 
Hizi fedha zitumike kulipia deni la dowans.

wakuu,

Munamsulubu Uda!

Nafikiri yeye ,anakusudia kutuambia,ok,tunafurahi kuwa tz itapata hela hizo,lakini hela hizo zitarudi kwa hao hao fisadis. Inawezekana katumia sarcasm!
mimi nimemfahamu hivyo,kuwa hizo na nyengine basi zitapelekwa kwa wenye Dowans.

kwa uendeshaji wa nchi ulivyo,nafikiri ameleta mantiki sawa.

hatutaziona hizo 59bilioni.
 
"The structure of this settlement agreement places moral pressure on the court to keep the fine to a minimum so that the reparation is kept at a maximum," said the judge.
The big question is.........are the English Courts really independent? hususani wanapofunika ufisadi kwa kushinikizwa na mikataba ya kifisadi kutotoa faini kubwa...............................reparations to whom? Kwa serikali ya CCM ambayo ndiyo iliyonufaika na ufisadi tajwa? This decision is the biggest blow to the war against official graft....................
 
Jamani mbona wakali sana?dowans lazima walipwe kuna ubaya gani kutumia hizi fedha?
 
Back
Top Bottom