BAE Systems pleads guilty!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,099
2,000
Daily Mail
24 November 2010


BAE Systems appeared at London's Westminster magistrates court charged with failing to keep proper records relating to payments for two contracts for an air traffic control system in Tanzania.

BAE's lawyer David Perry said the firm will enter a guilty plea next month in the case that has been brought by the Serious Fraud Office.

The group (down 7.1p at 338.8p) entered into the plea bargain with the SFO earlier this year. Sentencing should take place at Southwark Crown Court on December 20.
 

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
1,500
Wataharibu hapa kwetu maana PCCB walishawatakasa dhambi zao na chama kimeona ni sawa Naipenda Tanzania Bure
 

October

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
2,145
1,195
Chenge na PCCB wapo????
JK alietuambia tuwasifie analijua hili??
Kazi kweli kweli!!!
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,972
2,000
Hakuna kitu hapo...Tukukuru na Chenge walichokosea ni timing...SFO hawawezi kukataa au maana nyingine kuihua(sina uhakika na hili neno) BAE
 

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,605
2,000
Hiyo maanake ni kuwa kesi inamalizwa nyuma ya mapazia kama kwenye filamu za kisheria!
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,972
2,000
Wabritish wamestuka brands zao nyingi kama Cadbury chocolate zimenunuliwa na watu wa nje, wanahofia kufa au viwanda kuamishiwa nje ya UK.

BAE ni kati ya chache zilizobakia na wako tayari kuilinda kwa gharama zozote zile.
 

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
0
BAE wame-plead guilty, kwa hiyo wanakubali walitoa mlungula kwa akina Chenge & Co.

Swali: Jee hawa akina Chenge & Co ni lazima washitakiwe, ushahidi tayari ni huo. PCCB wasitufanye Watz mafala.
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
4,972
2,000
BAE wame-plead guilty, kwa hiyo wanakubali walitoa mlungula kwa akina Chenge & Co.

Swali: Jee hawa akina Chenge & Co ni lazima washitakiwe, ushahidi tayari ni huo. PCCB wasitufanye Watz mafala.
for Failing to Keep proper records
 

Lorah

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
1,193
0
haaaaaaaaaah mi kwakweli Tanzania ni nchi ya watu sijui tulioje??
hata hapo kenya wameshaamka sisi bado tu....
utaliona li chenge na li Hosea yataendelea kuwepo...
Hosea ni FISADI wa kutupa kwa rushwa ni number 1 hata za Ngono bado yupo tu....
yani mi nasikia kususa kuitwa Mtanzania sijui nijilipue??/
 

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
1,225
wanasheria hii inamaanisha nini

"failing to keep proper records"

Je inamaanisha watu waliokuwa wanashutumiwa kwa ufisadi wamepona?

I am not conversant with the law, help please
 

Utatu

JF-Expert Member
Dec 31, 2008
436
250
The Crown Court at Southwark Daily List for Tuesday 21 December 2010 at English Grounds, off Battlebridge Lane

Court 1 - sitting at 09:30 AM BEFORE THE HONOURABLE MR JUSTICE BEAN For Sentence S20100565 B A E SYSTEMS PLC

PART-HEARD BEFORE: HIS HONOUR JUDGE RIVLIN QC HON. RECORDER OF WESTMINSTER SITTING AT 10:00 AM For Mention T20100859 DONOHUE John JONES Mark COWLEY Nigel JAMES-BOWEN Roderick

Order made under Contempt of Court Act 1981

CourtServe Information Centre
 

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,749
1,250
Was just watching BBC News now, the breaking news came up that BAE have been fined £500,000 plus £250,000 costs in connection with Tanzania fraud and failure to keep records.

More details still to flow........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom