Khaa! Hata mie nawaangaliaga afu siwamalizi... Yani mie karne hii univishe kitenge? Tenge linampendeza mtoto wa kike buana. Alafu sasa chura awe nalo...
Wasichana bhna watu tunasolve mpaka log kwa kichwa Afu we unasema upo Complicated au sijaielewa iyo complications yako hapa akuna complications ukikomplicate tu wajinga wanakulamba ngoma na midundo. Ndo uko kwenye maisha marahis
Unaishi feki ili