Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Nilisikia 10,000 kwa siku zamani lakini..... kama ni hivo ngoja nijichange niwe nayo 😀
Yupo mmoja hapa mimi peke yangu nampa trip za kusambaza vitu at least 10,000 per day sijui wengine.
 
Snap chat tuuuuu. Halafu tukiwa na simu nzuri mnatuona matawi kama ukinitongoza unanitreat vizuri. Ndo wanavyosema lakini sio mimi
Snap chat ndio inataka simu za mamilioni?
 
Yupo mmoja hapa mimi peke yangu nampa trip za kusambaza vitu at least 10,000 per day sijui wengine.
Hii biashara inalisha familia bila ya wasiwasi.... Zinauzwa bei gani zile Fekon nafikiri?
 
Vipi usha deliver zile iPhone Z sijui X?

Hahahaaaaa thubutu!

Akili kubwa hii. Hata zawadi za peremende huwa sigawi!

Ila Mzigua90 atapata saa yake nyekundu. She’s been really good to me. Lookin’ out for me and everything. So I appreciate that very much. Therefore she deserves it.

Lakini hawa wengine hawa.....hahahahaaaa. Nope!

Miss Natafuta huwa anasema mimi ni mbahili. Yawezekana kweli ni mbahili lakini ubahili ndo akili.
 
Hata mimi wanasema ni mbahili ila mimi najiona sensible,sipendi matumizi yasiyo ya msingi au yasiyonihusu.
 
Hela niliyoitolea jasho siwezi kuifuja kwa mwanamke aisee.

Heri niitumie kwa mwanangu ambaye najua she is loyal to me till the end.

Au labda nikija kuoa. Hapo sitakuwa na tatizo ingawa napo itabidi nitumie akili kubwa maana wake za watu nao ndo walewale tu.

Lakini kwa Kisura I go all out man. Her happiness is mine as well.
 
Kwa mke na watoto hamna mjadala, tupo kwa ajili yao. Wao ndio sababu tunahangaika.
 
Back
Top Bottom