Nimecheka na mengi tu mmUnacheka nini?
Jana nilizungumzia kuwa roho mtaka mali katutawala na hatuna akili mtugonge mpk tuchanike sababu ni hatuna akili ukajitia kushangaaJuzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Vidole havilingani.



usingelalamika sasa na demu hawez kuomba hela kama hiyo kama anaona wewe kapukuuuMm nimemwambia shemej yako nataka kwenda Dubai kasemaaJana nilizungumzia kuwa roho mtaka mali katutawala na hatuna akili mtugonge mpk tuchanike sababu ni hatuna akili ukajitia kushangaa
Yamekukuta leo!!!
Endelea kumgonga halafu mdampo akili imsogee au mfundishe wewe unataka aweje
Ushajenga??Mm nimemwambia shemej yako nataka kwenda Dubai kasemaa
Ooooh jiandae tu mwezi wa sita uendee kula bata maisha mafupi mama
Tutajengaa tu maisha yako wapi unaweza kufa keshoooUshajenga??
Hahahaha usipobadilika jiandae kuchanwa km mwenzioTutajengaa tu maisha yako wapi unaweza kufa keshooo
Kwamba Yesu ndiyo alete mpunga, kazi kweli kweli mkuu!Anataka ya Milioni 11.5 nimemwambia tumsubiri Yesu kwanza. Hawariziki hawa watu
Wangu hawezi amejaaaa mavumbaaaHahahaha usipobadilika jiandae kuchanwa km mwenzio
Sawa sawa si anakusoma!!! Au nimuite?Wangu hawezi amejaaaa mavumbaaa
Marhaba mtoto mzuri.
Ukiitwa kwenye hili zoezi pale junction ya Karume
Tafadhali utii wito, Jina lako liko kwa Mh. ''Manene''
Ahhahaha kweli asee na kuna mengi amemfanyia ndio maana kapata ujasiri wa kumuombaAs namna hiyo wala hufumbi macho, wala hupepesi macho. Unamwambia wazi, hiyo pesa sina na hata ningekuwa nayo ina mambo mengi muhimu ya kufanya.
Mkuu, umekubali kuwa danga la mtu hivi hivi.