Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Hahaha! mleta mada ana hela za mawazo,mara awaze hiyo hela inaweza kununua bati mara madirisha mara aseme inaweza nunua boda boda, matofali, halafu arudi kusema inaweza nunua sijui kiwanja!
Mtu hujawahi kulala nje unawaza kujenga kwa sababu gani? Hizi nyumba zinazojengwa nani apange? Vijana wa sasa hawana kazi na hawataki kazi ndo maana hawana hela,usikute kaombwa laki 2 anakuja kulalamika huku,shubaaaaaakengemiiiitt zake
 
Duu kweli kabisa ila nimependa hitimisho hapo kwenye N.B maana kuna ambao wangekuja kujifaragua
 
G:mama angu unataka Samsung au Iphone
Mama Sabrina:Nataka Iphone
Wala hata sikukwepeshaa tukiwaza kujenga sana tutachokaa banaa wanaojenga wajenge tu
 
Hahaha! mleta mada ana hela za mawazo,mara awaze hiyo hela inaweza kununua bati mara madirisha mara aseme inaweza nunua boda boda, matofali, halafu arudi kusema inaweza nunua sijui kiwanja!
Sio za mawazo, sina hela kabisa. Ndio maana hio 2.3m nimefikiria inaweza kufanya nini.
 
Kingine kama ukiamua kuwasaidia wakina mama,vijana wanauza matunda,mahindi,biscut&maji na apple, wanaotembeza sambusa na mayai ambayo mitaji yao ni 20000 tu ambao watakuwa watu 115 hakika utaacha alama machoni mwao na thawabu mbinguni kuliko kuipatia papuchi moja ambayo haina akil kichwani
 
Back
Top Bottom