Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Hata mpwa wangu mwenyewe umri wa miaka 10 hana akili ndogo kiasi hicho chako. Ukipiga nae stori anakwambia mipango yake ya 2060 huko ikiwa ni pamoja na yeye kuwa raisi.

Sasa wewe hata mipango ya mwakani tu inaonekana huna, nahisi utakuwa na miaka 7 kabisa kiasi kwamba unajua kula tu
Mi najua kula,kulala basi mengine fanyeni nyie nimewaachia
 
Ni kweli, Umeona mbali sana.

Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
 
2.3M nikanunue simu? Labda kwa sababu sina ila sinunui ng'ooo hata nikipewa. Bora nikanunulie hisa kwenye vicoba najua mwisho wa mwaka sikosi faida ya 1M.
 
Ila wanaume jamani mie naona akili zenu hazitaki tu kuombwa hela
Mbona mimi nimeomba ya kuongezea mtaji naambiwa pambana na hali yako?
Mimi Hujaniomba Ningekutumia sasahivi....tiGO pesa!
 
Back
Top Bottom