mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,573
- 45,162
Inategemea na aina ya noti- dolari / ya madafu hahahaaInategemea you know[emoji41] [emoji41]
Inategemea na aina ya noti- dolari / ya madafu hahahaaInategemea you know[emoji41] [emoji41]
Nisikatae sana ngoja siku iwekwe 2M ndo ntajua [emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea na aina ya noti- dolari / ya madafu hahahaa
hahahahaaaaaNisikatae sana ngoja siku iwekwe 2M ndo ntajua [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wangu Wamefariki MkuuWazee wako umewabadilishia vile vitochi wanavyotumia?!
Kwanini anikomeshe kama vile nimekuomba. Mscheeww zake. Yani mtu akikimbia bill ntamtangazahahaaa jamaa alikuwa mtaka sifa baada ya kukufanya ulipe 250k, jamaa aliamua kukukomesha tu, its lyk mnaenda restaurant hlf saa ya kulipa bili unamkimbia demu Mzigua90
Naona kama nazitaka vilee [emoji23][emoji23]
Nisikatae sana ngoja siku iwekwe 2M ndo ntajua [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo anything anyhow mi siwezi ila kwa wewe ukinipa hiyo hata week poa tu. Usijeniambia tu tuilipie bill [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishawahi kuambiwa weka 2m mezani 5 days Zanzibar, do me anything anyhow.
Huyo hashindwi kuweka [emoji23][emoji23][emoji23]Uliweka?
Hiyo anything anyhow mi siwezi ila kwa wewe ukinipa hiyo hata week poa tu. Usijeniambia tu tuilipie bill [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliweka?
mkuu umenunua bei ganiJuzi tu nimetoka kumnunulia demu wngu simu kama hiyo [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
Huyo hashindwi kuweka [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshindaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inategemea hiyo kauli ina ukweli au laa...kama aina ukweli nakudharau tu.Kwa kauli hii mtu akikwambia wewe ni chombo cha starehe kwa mwanaume atakuwa amekutukana?