Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Tunawaona sanaaaa tu sema madada wa mjini nyie sometimes hamueleweki na hamtaki kueleweka.

Anyway hopefully ndugu yangu RRONDO naye atakuwa ameona in details.
RRONDO hanitaki si umeona lakini anavyonikwepa [emoji23][emoji23]
 
Mtu hujawahi kulala nje unawaza kujenga kwa sababu gani? Hizi nyumba zinazojengwa nani apange? Vijana wa sasa hawana kazi na hawataki kazi ndo maana hawana hela,usikute kaombwa laki 2 anakuja kulalamika huku,shubaaaaaakengemiiiitt zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Labda lakini...[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Japo sina hakika, pengine akiamini ntashawishika kuamini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom